physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Ulitaka uolewe wewe.Bora hakuoa kuliko kuoa katoto ka miaka 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka uolewe wewe.Bora hakuoa kuliko kuoa katoto ka miaka 6
Ulitaka akuoe wewe.KWA NINI MTUME ALICHUKUA KITOTO KIDOGO NA KAKUMBATIA MAJINI MIAKA YOTE.
Tatizo lako hauja elewa nilicho andika ..pia umedanganyika kuwa huu ukristo uliopo leo ndiyo ule uliokuwepo kipindi cha yesu na waislamu wanadhani huu uislamu uliopo leo ndiyo ule wa kipindi cha muhammad...mimi nakuambia kuwa UISLAMU NA UKRISTO ULIOPO LEO SIYO KABISA ULE ULIO LETWA NA YESU NA MUHAMMADWewe ndio mpumbavu wa mwisho,hapo hapo wakataa dini,na hapo hapo huyajui majina ya Mitume wa hizo dini.Ni sawa kukataa science,na kutojua halisi, majina ya wagunduzi wa science.
Usidhalilishe ukuu wa Mungu!
Mungu hawezi kuwa kiumbe.....kuzaliwa na binadamu, kula chakula, kulala usingizi, kuugua/kuumwa nk nk nk
Yesu alitumwa na Mungu kwa kazi maalum......wakati dunia inapitia kwenye janga la wachawi....watu waliuamini sana uchawi na kufikiri wachawi wanaweza kufanya kila kitu na hivyo wakamuacha Mungu....
Kwa kuliona hilo Mungu akaona alete mtume na kumpa nguvu kuliko wachawi ili wajue yupo (Mungu) mwenye nguvu kuliko wao.
Kwa bahati mbaya sana watu wakamwamini Yesu kuwa ndio Mungu badala ya kumwamini Mungu aliyemtuma; .....Kuna uwezekano ndio sababu Mungu aka amua kumnyakua Yesu akiwa na umri mdogo kwani angemuacha, hali ingekuwa mbaya zaidi....
Yes mpaka anaondoka hakuwah kupiga pipe wala kujichukulia sheria mkononi si ndio?Mtu ana miaka 30 hajawai kuoaa Wala kusex na mtu alafu alikuwa mfano wa binadamu.
Imani ni Bora kuliko dini
Haha usichokijuaSasa si tayari Yesu alishazifia dhambi zangu?
Kwa hiyo hata nikiendelea kutenda dhambi, Yesu alishalipa.
Nisipotenda dhambi ina maana huyo Yesu alijifia bure tu.
Sasa usipotenda dhambi kifo cha huyo Yesu hakina maana yeyote.
Inatakiwa watu watende dhambi haswa, Maana huyo Yesu alishakomboa dhambi.
Usipotenda dhambi, Huyo Yesu hana cha kukomboa na hajakomboa kitu.
Tenda dhambi Yesu apate cha kukomboa.
Usipotenda dhambi Yesu hana cha kukomboa.
Na kifo chake ni bureeeeeeee!!!
hata Kama wewe ni mgeni wa jiji, ila uli paswa kuwa kwema wenyeji wako wasi kuwekee movie za hovyo😂😂Kuna Movie moja hivi ya Yesu inamuonesha alivyoyashinda mauti alirudi akaoa na akawa na watoto kabisa akaendelea na maisha kama kawaida. Ila Yesu wa kwenye ile movie kachangamka sana. Ni vile nimeiangalia siku nyingi hata jina nimeisahau.
Ila kuna kipande kinaonesha ameletewa mke wake na malaika mmoja akawafungia ndani alafu huyo malaika akakaa mlangoni anawasubiri wamalize biashara yao. Director wa hiyo movie sijui aliwaza nini hata.
Shetani alipata wapi uwezo wa kuwa muovu?
Mungu Alishindwaje kuumba dunia isiyo na Shetani?
Kwa hiyo Mungu hakuyaona hayo ya mbeleni?Usidhalilishe ukuu wa Mungu!
Mungu hawezi kuwa kiumbe.....kuzaliwa na binadamu, kula chakula, kulala usingizi, kuugua/kuumwa nk nk nk
Yesu alitumwa na Mungu kwa kazi maalum......wakati dunia inapitia kwenye janga la wachawi....watu waliuamini sana uchawi na kufikiri wachawi wanaweza kufanya kila kitu na hivyo wakamuacha Mungu....
Kwa kuliona hilo Mungu akaona alete mtume na kumpa nguvu kuliko wachawi ili wajue yupo (Mungu) mwenye nguvu kuliko wao.
Kwa bahati mbaya sana watu wakamwamini Yesu kuwa ndio Mungu badala ya kumwamini Mungu aliyemtuma; .....Kuna uwezekano ndio sababu Mungu aka amua kumnyakua Yesu akiwa na umri mdogo kwani angemuacha, hali ingekuwa mbaya zaidi....
Kuumba kiumbe chenye utashi binafsi na uhuru wa kufanya uovu, Je huo ni upendo au upumbavu?Lusifa alipata uwezo wa uasi kwa sababu Mungu kwa upendo wake aliviumba viumbe vye utashi binafsi. Mungu huheshimu utashi wa viumbe wake. Lusifa alikuwa na freewill means alikuwa ana uhuru wa kuwaza atakavyo. Hivyo uovu ulitokea ndani ya moyo wake.
Dunia na mbingu za sasa zimewekwa akiba kwa moto. Zitateketezwa na kazi zake zote. (ni swala la muda tu). Ndio maana kutatokea mbingu mpya na nchi mpya ambamo sisi tuliookolewa kwa kazi ya Kalvari ya Bwana wetu Yesu Kristo, tutaishi humo milele.
Ulitaka uolewe wewe.
Kwa hiyo huyo Martha ndio alikuwa demu wake au?Yesu alimpenda Martha dada yake Maria Magdalene. Kuna wakati alienda kwenye hicho kijiji wakamfurusha kwa kumrushia mawe. Haijulikani sababu ilikuwa nini. Alipoenda mara nyingine ndo akamfufua Lazaro kaka yake na Martha. Muwe mnasoma biblia.
Ile kitu yake ilyotahiriwa ilikuwa ya kazi gani ?Yeye ni Mungu alikuja kuifanya kazi ya Mungu, hakuja duniani kuoa Bali kuokoa roho zilizopotea
Fuatilia swala hili,Zipi zilikuwa sababu za msingi za yeye kutooa wala kuwa na mchumba?
Mje mtupe darasa kwa kweli.
YESU aliangalia alichotendewa adam na hawa akachoka,akaangalia alichofanyiwa samson na delila akazidi kuchoka,,,so akaona bora atulieZipi zilikuwa sababu za msingi za yeye kutooa wala kuwa na mchumba?
Mje mtupe darasa kwa kweli.
NdiyoKwa hiyo huyo Martha ndio alikuwa demu wake au?
Mungu ameumba binadam na kumpa utashi wa kutenda.....Kwa hiyo Mungu hakuyaona hayo ya mbeleni?
Njoo ukanyage mafutaEe Munguu nisaidie tangia ulogwe unaropoka tu
Duniani kaondoka akiwa na miaka mingapi??Kwahyo mkuu unataka kusema mshkaji alikuwa mvulana?