Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Zipi zilikuwa sababu za msingi za yeye kutooa wala kuwa na mchumba?

Mje mtupe darasa kwa kweli.
Kama huna roho mtakatifu ndani yako basi huwezi kuelewa lolote.

Endelea Kumsujudia shetwaini aliyeoa mabikra 70.
 
Asingeweza kuihubiri injili akiwa na mwanamke,maana mwanamke ukiwa nae anataka attention yako kila mara.
 
Huyo Mungu aliumbaje binadamu wenye uwezo wa kutenda dhambi?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wasio na uwezo wa kutenda dhambi?

Kama huyo Yesu alikuja duniani kumsaidia binadamu na dhambi, Kwa nini ukifa unahukumiwa dhambi zako?

Kama ukifa unahukumiwa dhambi zako, Huyo Yesu alikomboa nini?
Ukifa haukumiwi kwa dhambi la sivyo Yesu angekuwa amekufa bure..

Ukifa una hukumiwa kwa kutokumuamini Yesu
 
Yeye ni Mungu alikuja kuifanya kazi ya Mungu, hakuja duniani kuoa Bali kuokoa roho zilizopotea

Usidhalilishe ukuu wa Mungu!
Mungu hawezi kuwa kiumbe.....kuzaliwa na binadamu, kula chakula, KULALA USINGIZI, kuugua/kuumwa nk nk

Yesu alitumwa na Mungu kwa kazi maalum......wakati dunia inapitia kwenye janga la wachawi....watu waliuamini sana uchawi na kufikiri wachawi wanaweza kufanya kila kitu na hivyo wakamuacha Mungu....
Kwa kuliona hilo Mungu akaona alete mtume na kumpa nguvu kuliko wachawi ili wajue yupo (Mungu) mwenye nguvu kuliko wao. Mungu mwenye mamlaka yote
Kwa bahati mbaya sana watu wakamwamini Yesu kuwa ndio Mungu badala ya kumwamini Mungu aliyemtuma; .....Kuna uwezekano ndio sababu Mungu aka amua kumnyakua Yesu akiwa na umri mdogo kwani angemuacha, hali ingekuwa mbaya zaidi....
 
Yesu alimpenda Martha dada yake Maria Magdalene. Kuna wakati alienda kwenye hicho kijiji wakamfurusha kwa kumrushia mawe. Haijulikani sababu ilikuwa nini. Alipoenda mara nyingine ndo akamfufua Lazaro kaka yake na Martha. Muwe mnasoma biblia.
 
Kwa hiyo ukimwamini tu Yesu halafu ukaendelea kufanya dhambi kama kawaida, haina shida kabisa?
Sijui kama unaona unachokitype..

Huwezi kumuamini Yesu alafu ukaendelea kutenda dhambi..

Kumuamini Yesu inamaana unaamini alikufa kwaajili ya dhambi zako sio zake..

Na yoyote anaelewa hili hawezi kutaka kutenda dhambi na hata hiyo asili ya kutenda dhambi haimo ndani yake
 
Kumtoa mwanao wa pekee badala ya kumuua yule adui mwovu Shetani, Ni upumbavu na unafiki.

Huyo Mungu kama aliupenda Ulimwengu, Angemuua shetani.

Huyo Mungu kama anaupenda ulimwengu, Amuue Shetani.

Kumuua mwanao wa pekee badala ya kumuua huyo muovu shetani muhusika mwenyewe. Ni unafiki, ujinga na upumbavu.
Giza limekukamata na naona unalikumbatia. Shetani ni kiumbe cha kiroho, hakifagi. Shetani hafi na hatokufa atateseka milele pamoja na wale ambao majina yao hayatoonekana katika Kitabu cha Uzima cha Mwana-kondoo. Hukumu ya mwisho inakuja ambapo shetani na wafuasi wake watatupwa katika hilo ziwa la moto na kuteseka milele.

“Na yule Ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele.

— Ufunuo wa Yohana 20:10 (Biblia Takatifu)
 
Giza limekukamata na naona unalikumbatia. Shetani ni kiumbe cha kiroho, hakifagi. Shetani hafi na hatokufa atateseka milele pamoja na wale ambao majina yao hayatoonekana katika Kitabu cha Uzima cha Mwana-kondoo. Hukumu ya mwisho inakuja ambapo shetani na wafuasi wake watatupwa katika hilo ziwa la moto na kuteseka milele.
Shetani alipata wapi uwezo wa kuwa muovu?

Mungu Alishindwaje kuumba dunia isiyo na Shetani?
 
Kina FaizaFoxy baada ya kujifunza kwangu kuhusu dini zao ..siku hizi kapoteza tumaini la kuingia peponi na kupewa mabasha 70 baada ya kugundua kuwa mudi boy ni muongo .. mudi boy wala siyo mtume wa mungu wala yeye mwenyewe alikuwa ajui utume ni kitu gani... waislamu niombeni kwa kububujikwa na machozi nizidi kuwafunulieni upumbavu uliopo ndani ya hizo dini zenu za ukristo na uislamu...mtakuja kunishukuru sana
Wewe ndio mpumbavu wa mwisho,hapo hapo wakataa dini,na hapo hapo huyajui majina ya Mitume wa hizo dini.Ni sawa kukataa science,na kutojua halisi, majina ya wagunduzi wa science.
 
Kwa hiyo ukimwamini tu Yesu halafu ukaendelea kufanya dhambi kama kawaida, haina shida kabisa?
mtu aliyemwamini Yesu hawezi kutenda dhambi kwa makusudi. Anapewa nguvu ya kuzishinda dhambi maana Yesu anaingia mzima-mzima katika moyo wa mwamini.

"kila aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi..." maana uzao wa Mungu hukaa ndani yake.

“Kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wake wakaa ndani yake; wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa kutokana na Mungu.

— 1 Yohana 3:9 (Biblia Takatifu)
 
Sijui kama unaona unachokitype..

Huwezi kumuamini Yesu alafu ukaendelea kutenda dhambi..
Sasa si tayari Yesu alishazifia dhambi zangu?

Kwa hiyo hata nikiendelea kutenda dhambi, Yesu alishalipa.

Nisipotenda dhambi ina maana huyo Yesu alijifia bure tu.
Kumuamini Yesu inamaana unaamini alikufa kwaajili ya dhambi zako sio zake..

Na yoyote anaelewa hili hawezi kutaka kutenda dhambi na hata hiyo asili ya kutenda dhambi haimo ndani yake
Sasa usipotenda dhambi kifo cha huyo Yesu hakina maana yeyote.

Inatakiwa watu watende dhambi haswa, Maana huyo Yesu alishakomboa dhambi.

Usipotenda dhambi, Huyo Yesu hana cha kukomboa na hajakomboa kitu.

Tenda dhambi Yesu apate cha kukomboa.

Usipotenda dhambi Yesu hana cha kukomboa.

Na kifo chake ni bureeeeeeee!!!
 
Back
Top Bottom