Hivi kwanini Yesu hakuoa wala kuwa na mchumba miaka yote hiyo?

Wewe ndio mpumbavu wa mwisho,hapo hapo wakataa dini,na hapo hapo huyajui majina ya Mitume wa hizo dini.Ni sawa kukataa science,na kutojua halisi, majina ya wagunduzi wa science.
Tatizo lako hauja elewa nilicho andika ..pia umedanganyika kuwa huu ukristo uliopo leo ndiyo ule uliokuwepo kipindi cha yesu na waislamu wanadhani huu uislamu uliopo leo ndiyo ule wa kipindi cha muhammad...mimi nakuambia kuwa UISLAMU NA UKRISTO ULIOPO LEO SIYO KABISA ULE ULIO LETWA NA YESU NA MUHAMMAD
 

Mungu hakuna jambo asiloliweza. anafaweza kufanya ama kuwa atakavyo. Hapangiwi, Hashindwi!

wewe unamzungumzia Mungu yupi ambaye hawezi kufanya ama kufanyika atakavyo, (maana miungu nayo ni mingi, hata huyo allah ni mmoja wa miungu hiyo) ambayo tokea awali tulitahadharishwa tusiiabudu wala kuisujudia. KUTOKA 20.
 
Mtu ana miaka 30 hajawai kuoaa Wala kusex na mtu alafu alikuwa mfano wa binadamu.

Imani ni Bora kuliko dini
Yes mpaka anaondoka hakuwah kupiga pipe wala kujichukulia sheria mkononi si ndio?
 
Haha usichokijua

Kipimo cha haki ni kumuamini Yesu.. Yesu alikufa tupate haki ya kusimama mbele za Mungu pasipo kuhesabiwa hatia..

Yesu hakufa bure maana wapo watu waliomkubali na kumuamini.

Yesu alikufa mara moja tu kwaajili ya dhambi..

Badala ya kuwashauri watu kutenda dhambi nawashauri wa muamini.

Maana watu wanateseka na dhambi, wanakosa amani ya kweli, wanasumbuliwa na magonjwa, na hawana tumaini

Ukimuamini Yesu anakupa amani ipitayo yote, unafanyika kuwa Mwana wa Mungu, unapokea Roho mtakatifu, unapokea uzima wa milele kitu ambacho huwezi kupata ukitenda dhambi
 
hata Kama wewe ni mgeni wa jiji, ila uli paswa kuwa kwema wenyeji wako wasi kuwekee movie za hovyo😂😂
 
Shetani alipata wapi uwezo wa kuwa muovu?

Mungu Alishindwaje kuumba dunia isiyo na Shetani?

Lusifa alipata uwezo wa uasi kwa sababu Mungu kwa upendo wake aliviumba viumbe vye utashi binafsi. Mungu huheshimu utashi wa viumbe wake. Lusifa alikuwa na freewill means alikuwa ana uhuru wa kuwaza atakavyo. Hivyo uovu ulitokea ndani ya moyo wake.

Dunia na mbingu za sasa zimewekwa akiba kwa moto. Zitateketezwa na kazi zake zote. (ni swala la muda tu). Ndio maana kutatokea mbingu mpya na nchi mpya ambamo sisi tuliookolewa kwa kazi ya Kalvari ya Bwana wetu Yesu Kristo, tutaishi humo milele.
 
Kwa hiyo Mungu hakuyaona hayo ya mbeleni?
 
Kuumba kiumbe chenye utashi binafsi na uhuru wa kufanya uovu, Je huo ni upendo au upumbavu?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
 
Yesu alimpenda Martha dada yake Maria Magdalene. Kuna wakati alienda kwenye hicho kijiji wakamfurusha kwa kumrushia mawe. Haijulikani sababu ilikuwa nini. Alipoenda mara nyingine ndo akamfufua Lazaro kaka yake na Martha. Muwe mnasoma biblia.
Kwa hiyo huyo Martha ndio alikuwa demu wake au?
 
Zipi zilikuwa sababu za msingi za yeye kutooa wala kuwa na mchumba?

Mje mtupe darasa kwa kweli.
Fuatilia swala hili,

Uhusiano wa yesu na maria_magdalene
Je? Maria magdalene aliwahi kua na mtoto

Alafu umwambie mod abadilishe kichwa cha habari
 
Kwa hiyo Mungu hakuyaona hayo ya mbeleni?
Mungu ameumba binadam na kumpa utashi wa kutenda.....
Mtu asije kuiba akasema Mungu alijua ameumba mwizi....
Tumepewa utashi wa kujisimamia wenyewe na huo ndio mtihani mkubwa kuliko yote binadamu aliopewa na ndio tutahukumiwa nao siku za malipo (day of judgement!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…