Amesema anasikitishwa sana na mauaji na utekaji. Swali ni alijiuliza, kama ni kweli ilikuwaje akaurudisha kwa kumteua mtu mwenye tuhuma za kuondoa haki za watu kuishi? Mtu ambaye taifa kubwa lenye vyombo na taasisi kubwa za ujasusi lilimpiga marufuku kuingia kwao kwa sababu ya tuhuma za kuua, kuteka na kutesa watu kinyume cha sheria?
Tafakari, huenda ni machozi ya mchawi kwenye msiba wa mtu aliyemuua
Tafakari, huenda ni machozi ya mchawi kwenye msiba wa mtu aliyemuua