Hivi kweli ATM huwa zinahesabu hela vizuri?

Hivi kweli ATM huwa zinahesabu hela vizuri?

Huyu ni Comedian mwingine hapa jukwaani Mkuu..
Msome taratibu tu utamuelewa..
Kuna uzi wake anataka kuwa Dk. Ila kajifunzia You tube.
Kwa sasa ni Mtanesco.
JF hii[emoji114]
"Huyu ni Comedian mwingine hapa jukwaani .
Msome taratibu tu utamuelewa.." - Makiseo

Naam.
 
Najibu tu swali la thread yako, je ATM huwa haikosei kuhesabu hela?
Jibu ni ndio, haikosei kuhesabu. Ila yanaweza kufanyika makosa hela ikahesabiwa na ikakwama kutoka. Kuna siku nishawahi kutoa hela, nikasikia mashine inahesabu lakini haikutoka ingawa nilipata msg kuwa nimetoa hela.
Ulichukua hatua gani ?
 
Chrismoris baada ya pesa kukwama kutoka niliingia ndani nikaambiwa niandike barua kwamba mimi fulani mwenye acc fulani, nimetoa pesa tar fulani, muda fulani na saa fulani, katika tawi fulani. Muamala umefanikiwa lakini hela imegoma kutoka.
Baada ya wiki 2 kama sikosei hela ikarudi kwenye akaunti.
 
Back
Top Bottom