Daktari wa Meno
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 509
- 1,610
- Thread starter
- #21
Kwahiyo mshahara wangu hautoshi kununua hata kadogoLaki 3 hafi 5..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mshahara wangu hautoshi kununua hata kadogoLaki 3 hafi 5..
Huyu ni Comedian mwingine hapa jukwaani Mkuu..
Unatosha kwani wewe unalipwa bei gan..
Umeshaona nyuzi zake nyingine lakini Dear?Hahhahahhahhahaa bei tu ya hiyo machine mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]! Then ulipwe laki 5[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]!
ATM NDANI INA MFUMO WA KUHESABU HELA HUWA HAILOSEI HATA KIDOGO , NA KAMA SYSTEAM IKIJICHANGANYA KIDOGO ATM INAKATA NETWORKKuna kazi nimepata hivi karibuni sasa nikaambiwa malipo yanafanyika kupitia benki na nikatakiwa kuwa mteja wa benki hiyo ambayo ofisi imetaka ili niwe nawekewa mshahara wangu.
Sasa kutokana na ugeni wangu katika kazi na kulipwa kupitia benki je ni kweli ATM hizi haziibi pesa maana naogopa mshahara wangu unaweza kuibiwa na ATM ambazo mimi siziamini.
Baada ya kuwaza sana nimefikiria ninunue mashine ya kuhesabia pesa ya kwangu mwenyewe ili nione kama naibiwa na ATM naomba pia kujua bei ya hizo mashine za kuhesabu hela ni shilingi ngapi.
Sijajua mshahara ni shilingi ngapi ila wamesema ni kati ya laki 3 hadi 5.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninazo ukipata mshahara nishtue.bei nitakupunguzia au tutaesabu wote.
Mtanesco nunua tu mashine yako maana hata mimi siziamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamesema kati ya laki 3 hadi laki 5Unatosha kwani wewe unalipwa bei gan..
Acha kumdanganya mwenzako mbona mimi ATM iliwahi kuniibia hela zangu?
Kumbe zina bei kubwa nilijua bei ndogo sasa sijui itakuwaje.ATM NDANI INA MFUMO WA KUHESABU HELA HUWA HAILOSEI HATA KIDOGO , NA KAMA SYSTEAM IKIJICHANGANYA KIDOGO ATM INAKATA NETWORK
KAMA UNATAKA MASHINE YA KUHESABU HELA NI KUANZIA SH 350,000/- Wengi sana wamenunu a wenye fahari huduma na mawakala wa mabenk
sent from HUAWEI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulipwa kwa mkono hapo umewaza sahihi.Kwahiyo zisipotoka nakuwa sina mshahara, basi bora wanilipe kwa mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Najibu tu swali la thread yako, je ATM huwa haikosei kuhesabu hela?
Jibu ni ndio, haikosei kuhesabu. Ila yanaweza kufanyika makosa hela ikahesabiwa na ikakwama kutoka. Kuna siku nishawahi kutoa hela, nikasikia mashine inahesabu lakini haikutoka ingawa nilipata msg kuwa nimetoa hela.
Umeshaona nyuzi zake nyingine lakini Dear?
Utacheka mno.. Fanya kupitia.
Sent using Jamii Forums mobile app