Hivi kweli ATM huwa zinahesabu hela vizuri?

Hivi kweli ATM huwa zinahesabu hela vizuri?

Hahhahahhahhahaa bei tu ya hiyo machine mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]! Then ulipwe laki 5[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]!
Umeshaona nyuzi zake nyingine lakini Dear?
Utacheka mno.. Fanya kupitia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kazi nimepata hivi karibuni sasa nikaambiwa malipo yanafanyika kupitia benki na nikatakiwa kuwa mteja wa benki hiyo ambayo ofisi imetaka ili niwe nawekewa mshahara wangu.

Sasa kutokana na ugeni wangu katika kazi na kulipwa kupitia benki je ni kweli ATM hizi haziibi pesa maana naogopa mshahara wangu unaweza kuibiwa na ATM ambazo mimi siziamini.

Baada ya kuwaza sana nimefikiria ninunue mashine ya kuhesabia pesa ya kwangu mwenyewe ili nione kama naibiwa na ATM naomba pia kujua bei ya hizo mashine za kuhesabu hela ni shilingi ngapi.

Sijajua mshahara ni shilingi ngapi ila wamesema ni kati ya laki 3 hadi 5.



Sent using Jamii Forums mobile app
ATM NDANI INA MFUMO WA KUHESABU HELA HUWA HAILOSEI HATA KIDOGO , NA KAMA SYSTEAM IKIJICHANGANYA KIDOGO ATM INAKATA NETWORK

KAMA UNATAKA MASHINE YA KUHESABU HELA NI KUANZIA SH 350,000/- Wengi sana wamenunu a wenye fahari huduma na mawakala wa mabenk

sent from HUAWEI
 
ATM NDANI INA MFUMO WA KUHESABU HELA HUWA HAILOSEI HATA KIDOGO , NA KAMA SYSTEAM IKIJICHANGANYA KIDOGO ATM INAKATA NETWORK

KAMA UNATAKA MASHINE YA KUHESABU HELA NI KUANZIA SH 350,000/- Wengi sana wamenunu a wenye fahari huduma na mawakala wa mabenk

sent from HUAWEI
Kumbe zina bei kubwa nilijua bei ndogo sasa sijui itakuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashine kuhesabu hela na kisha isitoe ni dalili kwamba imekusoma wewe ni Mchepuko wake
Najibu tu swali la thread yako, je ATM huwa haikosei kuhesabu hela?
Jibu ni ndio, haikosei kuhesabu. Ila yanaweza kufanyika makosa hela ikahesabiwa na ikakwama kutoka. Kuna siku nishawahi kutoa hela, nikasikia mashine inahesabu lakini haikutoka ingawa nilipata msg kuwa nimetoa hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom