Hivi kweli ATM huwa zinahesabu hela vizuri?

Huyu ni Comedian mwingine hapa jukwaani Mkuu..
Msome taratibu tu utamuelewa..
Kuna uzi wake anataka kuwa Dk. Ila kajifunzia You tube.
Kwa sasa ni Mtanesco.
JF hii[emoji114]
"Huyu ni Comedian mwingine hapa jukwaani .
Msome taratibu tu utamuelewa.." - Makiseo

Naam.
 
We si ndio ulipigwa msibani kwa kulilia nyama?
 
Ulichukua hatua gani ?
 
Chrismoris baada ya pesa kukwama kutoka niliingia ndani nikaambiwa niandike barua kwamba mimi fulani mwenye acc fulani, nimetoa pesa tar fulani, muda fulani na saa fulani, katika tawi fulani. Muamala umefanikiwa lakini hela imegoma kutoka.
Baada ya wiki 2 kama sikosei hela ikarudi kwenye akaunti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…