Uchaguzi 2020 Hivi kweli CCM mnataka Watanzania wawe na moyo gani kumchagua mgombea wenu?

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.

Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
 
View attachment 1581980
Mbona unapenda kuanzisha uzi kila mara
 
Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.

Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Kosa kubwa kuliko yote kwa Ccm ni kumfanya Rais kuwa mwenyekiti wa chama.

Ana vuruga halafu hakuna wa kumkemea. Sasa wana haha kuwaita wakurugenzi Dodoma wapewe kura za wizi..

Ajiulize ya Malawi.
Ajiulize kama wstu wanaweza kumzomea jukwaani na kukataa kujudhuria mikutano yake itakuwa ngumu kuingia road??
 
Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.

Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Ikitokea watanzania tukamchagua tena magufuli mwaka huu sio Mungu tu atakayetushangaa ila hata shetani atatushangaa sana kama tuna akili nzuri au la!

Magufuli hafai kuwa hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa sio Uraisi tu. Ni mtu mwenye ubabe, chuki na ukatili usio wa kawaida!!
 
Awamu hii ndiyo nilipogundua vipaji na uwezo wa Watanzania kutumia sehemu ndogo ya ubongo wao. Unamkuta kiongozi mwenye shahada ya uzamili au uzamivu amekaza mishipa kumshukuru Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano kwa kutuletea jua.
 
Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.

Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Nina hamu uchaguzi ,uwe hata Leo.Tuone kama huyo Lissu atapata hata kura 30%
 
Okay.Yaan anaanzisha nyuzi ,nyingi zenye mlengo huo.Mara hao ,JPM akishinda Bahama nchi.Mpuuzi sana.JPM mitano tena
Walioko na wanaogombea CCM ni wasaka tonge tu wala hawana uchungu na WANANCHI na ndio maana wametuletea Sheria za ajabu sana za MAFAO wakati wenyewe washachukua chao ni UBINAFSI WA HALI YA JUU SANA. WOTE MBWA TUU.
 
Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.

Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Haitanadilisha kitu, magufuli anaongoza tena nchi kwa ushindi mkubwa.
 
Hategemei ushindi wa kura bali wizi wa tume.
Ni kama hivi ndo mana hata kampeni hafanyi
1.jpg
 
Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.

Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Sasa kachunge mbuzi CHATO
 
Back
Top Bottom