Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifika hapo ajiandae kwenda The Hague. Kwa kifupi TL amempiga pini huyu jamaa ndani na nje.Goli la mkono ni goli pia......
Labda kwa bao la mkono.Nina hamu uchaguzi ,uwe hata Leo.Tuone kama huyo Lissu atapata hata kura 30%
Hivi ilitokeaje kuwa wajumbe wa mkutano mkuu kumchagua kwa 100% haikutokea hata kura moja ya hapana. Mbona wananchi wanatofautiana na wajumbe.Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Hilo nalo nenoHivi ilitokeaje kuwa wajumbe wa mkutano mkuu kumchagua kwa 100% haikutokea hata kura moja ya hapana. Mbona wananchi wanatofautiana na wajumbe.
Hata wajumbe kutoka Kagera hawakujua wananchi wanafikiri nini? Wenye akili hebu fumbueni! Hii haikuwa hujima kweli!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Mh...!
Aisee, unajua mtego wa panya huwekwa kitu kinchomvutia kama samaki au nyama choma. Panya atanasa tu. Sasa, kama ccm wamemuwekea mtego mgombea kwanza kwa kimjaza sifa na mapambio na kumpa large media coverage mwisho wakampa kura za kumteua za kishindo hivi vyote ni kama mtego. Ngoja niishie hapa hivi ni kweli kikulacho ni chawa nao wako nguoni mwako? Hawa chawa jamani tunashindwa kuwamwagia maji moto maana nguo hazivuki, zimegandiaOkay.Yaan anaanzisha nyuzi ,nyingi zenye mlengo huo.Mara hao ,JPM akishinda Bahama nchi.Mpuuzi sana.JPM mitano tena
Mkuu Avatar yako inatusaliti🥺Tetea ajira yako boss. Tuache mie na familia yangu kura zote kwa mtoto TUNDU.
Hiyo si ajabu, bali ajabu iliyopo ni huu uungwaji mkono ambao haukutazamiwa mwanzo! Hii itazaa ajabu nyingine kama hatapigiwa kura za kutosha. Hizi dalili za mvua za mawingu mazito, radi na ngurumo katika kiangazi kwa wapinzani. Huyu mtu aliaye nyikani akiwabatiza watu. Hii ndio ajabu, Ajabu ya Mumgu. Mwingira I dont undestand this.Nina hamu uchaguzi ,uwe hata Leo.Tuone kama huyo Lissu atapata hata kura 30%
Mapunguani yako mengi dunia hii!Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Kuna wenzako waliwesema hata 10% hapati, wengine wakasema 20% na wewe unasema 30%. Naona kadiri muda unavyoenda mnazidi kumpandishia asalimia tu. Haya ngoja tuone wenzako wengine watakuja na asilimia ngapi.Nina hamu uchaguzi ,uwe hata Leo.Tuone kama huyo Lissu atapata hata kura 30%
Nasikia kawaitisha MaDED wote kwenye kikao cha kazi Dar ili wakapange namna watakavyoiba kura! Tunawaambia mwaka huu hatukubali kuibiwa kiboya, mkurugenzi atakayejidai ajue anaweka rehani maisha yake au ya wanapendwa wake! Wamepanga eti kupeleka mawakala wa CCM kwa ngozi ya CHADEMA au ACT-Wazalendo, ole wao hao mawakala wa kubumba ambao chama hakitawatambua, tutawabana huku mtaani mpaka wasipumue!Hategemei ushindi wa kura bali wizi wa tume.
MTU AWAYE YOTE MWENYEHakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Huo wizi utamtokea puaniHategemei ushindi wa kura bali wizi wa tume.
Mbona unapenda kufuatilia nyuzi anazoanzisha kila mara ?Mbona unapenda kuanzisha uzi kila mara
Wewe binti kama nyuzi za jamaa zinakuchokonoa sana mattercone na wewe uwe unaanzisha nyuzi za kumsifia mumeo MekoOkay.Yaan anaanzisha nyuzi ,nyingi zenye mlengo huo.Mara hao ,JPM akishinda Bahama nchi.Mpuuzi sana.JPM mitano tena
Wwe sio jukumu lako kumjibia magufuliNimewaza na kufikir sana, kitendo cha Magu kuto peleka fidia kule Kagera zipo wazi sema tunajitoa ufahamu sisi wenyw.
Kama huelewi niulize nitakujibu.!