Uchaguzi 2020 Hivi kweli CCM mnataka Watanzania wawe na moyo gani kumchagua mgombea wenu?

Uchaguzi 2020 Hivi kweli CCM mnataka Watanzania wawe na moyo gani kumchagua mgombea wenu?

Wwe sio jukumu lako kumjibia magufuli
Yeye amejibu ila jibu hamjaliona sijui kwa sababu u busy, ili kumuelewa yule jamaa inatakiwa uunganishe fuse zote, ikikatik moja huwezi muelewa kamwe.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yeye amejibu ila jibu hamjaliona sijui kwa sababu u busy, ili kumuelewa yule jamaa inatakiwa uunganishe fuse zote, ikikatik moja huwezi muelewa kamwe.[emoji2][emoji2][emoji2]
Kazi ya kujikomba komba wengine ilishatushinda, wewe komaa nayo
 
Awamu hii ndiyo nilipogundua vipaji na uwezo wa Watanzania kutumia sehemu ndogo ya ubongo wao. Unamkuta kiongozi mwenye shahada ya uzamili au uzamivu amekaza mishipa kumshukuru Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano kwa kutuletea jua.
Eeeeh! Hii kali.
 
Nimewaza na kufikir sana, kitendo cha Magu kuto peleka fidia kule Kagera zipo wazi sema tunajitoa ufahamu sisi wenyw.

Kama huelewi niulize nitakujibu.!
MTU AWAYE YOTE MWENYE
AKILI TIMAMU
AKILI TIMAMU
AKILI TIMAMU
AKILI TIMAMU
AKILI TIMAMU HAWEZI KUMPIGIA KURA MGOMBEA urais WA maccm
Wewe mwenyewe hauna akili timamu.
Hariri ulicho andika ndio utajua kama hauna akili timamu.
 
Kazi ya kujikomba komba wengine ilishatushinda, wewe komaa nayo
No, sio kujikomba, tunajadil hoja, kwamba jamaa amewaonea wana Kagera kitu ambacho sio kweli.

Mi nipo neutral akifanya jema tunapongeza, Yale mabaya tunaponda.

In average rais wetu yupo vzr, for me i am going to vote him 28 oct.
 
No, sio kujikomba, tunajadil hoja, kwamba jamaa amewaonea wana Kagera kitu ambacho sio kweli.

Mi nipo neutral akifanya jema tunapongeza, Yale mabaya tunaponda.

In average rais wetu yupo vzr for me i am going to vote him 28 oct.
Magu is the worst president ever
 
Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.

Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Yani safari hii gari ya maccm ya kampeni, dereva wao kakanyaga mafuta na brake kwa wakati mmoja so acha gari yao ijipige screenshot[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom