Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Mbona unapenda kuanzisha uzi kila maraHakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Ni kada huyo jamaa.Mbona unapenda kuanzisha uzi kila mara
Kosa kubwa kuliko yote kwa Ccm ni kumfanya Rais kuwa mwenyekiti wa chama.Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Kwa sababu ni profesa. Kazi za wanazuoni ni kuelimishaMbona unapenda kuanzisha uzi kila mara
Ikitokea watanzania tukamchagua tena magufuli mwaka huu sio Mungu tu atakayetushangaa ila hata shetani atatushangaa sana kama tuna akili nzuri au la!Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Okay.Yaan anaanzisha nyuzi ,nyingi zenye mlengo huo.Mara hao ,JPM akishinda Bahama nchi.Mpuuzi sana.JPM mitano tenaNi kada huyo jamaa.
Na account anayo itumia ni special kwa ajili ya kushawishi JPM akataliwe.
Nina hamu uchaguzi ,uwe hata Leo.Tuone kama huyo Lissu atapata hata kura 30%Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Walioko na wanaogombea CCM ni wasaka tonge tu wala hawana uchungu na WANANCHI na ndio maana wametuletea Sheria za ajabu sana za MAFAO wakati wenyewe washachukua chao ni UBINAFSI WA HALI YA JUU SANA. WOTE MBWA TUU.Okay.Yaan anaanzisha nyuzi ,nyingi zenye mlengo huo.Mara hao ,JPM akishinda Bahama nchi.Mpuuzi sana.JPM mitano tena
Tetea ajira yako boss. Tuache mie na familia yangu kura zote kwa mtoto TUNDU.Nina hamu uchaguzi ,uwe hata Leo.Tuone kama huyo Lissu atapata hata kura 30%
Haitanadilisha kitu, magufuli anaongoza tena nchi kwa ushindi mkubwa.Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Ni kama hivi ndo mana hata kampeni hafanyiHategemei ushindi wa kura bali wizi wa tume.
Sasa kachunge mbuzi CHATOHakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Huyo ni ccm aliye asi,anavaa nguo za kijani na mnaongozana naye,lakini huku anawapiga mawe.Mbona unapenda kuanzisha uzi kila mara
Goli la mkono ni goli pia......Hategemei ushindi wa kura bali wizi wa tume.