Yeye amejibu ila jibu hamjaliona sijui kwa sababu u busy, ili kumuelewa yule jamaa inatakiwa uunganishe fuse zote, ikikatik moja huwezi muelewa kamwe.[emoji2][emoji2][emoji2]Wwe sio jukumu lako kumjibia magufuli
Kazi ya kujikomba komba wengine ilishatushinda, wewe komaa nayoYeye amejibu ila jibu hamjaliona sijui kwa sababu u busy, ili kumuelewa yule jamaa inatakiwa uunganishe fuse zote, ikikatik moja huwezi muelewa kamwe.[emoji2][emoji2][emoji2]
Eeeeh! Hii kali.Awamu hii ndiyo nilipogundua vipaji na uwezo wa Watanzania kutumia sehemu ndogo ya ubongo wao. Unamkuta kiongozi mwenye shahada ya uzamili au uzamivu amekaza mishipa kumshukuru Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano kwa kutuletea jua.
MBONA UNAPENDA KUCHANGIA UZII KILA MARA??🤣🤣🤣 NYANI HAONI KUNDU.....LE🤣🤣Mbona unapenda kuanzisha uzi kila mara
Mbona unapenda kuanzisha uzi kila mara
Nimewaza na kufikir sana, kitendo cha Magu kuto peleka fidia kule Kagera zipo wazi sema tunajitoa ufahamu sisi wenyw.
Kama huelewi niulize nitakujibu.!
Wewe mwenyewe hauna akili timamu.MTU AWAYE YOTE MWENYE
AKILI TIMAMU
AKILI TIMAMU
AKILI TIMAMU
AKILI TIMAMU
AKILI TIMAMU HAWEZI KUMPIGIA KURA MGOMBEA urais WA maccm
No, sio kujikomba, tunajadil hoja, kwamba jamaa amewaonea wana Kagera kitu ambacho sio kweli.Kazi ya kujikomba komba wengine ilishatushinda, wewe komaa nayo
Magu is the worst president everNo, sio kujikomba, tunajadil hoja, kwamba jamaa amewaonea wana Kagera kitu ambacho sio kweli.
Mi nipo neutral akifanya jema tunapongeza, Yale mabaya tunaponda.
In average rais wetu yupo vzr for me i am going to vote him 28 oct.
Yani safari hii gari ya maccm ya kampeni, dereva wao kakanyaga mafuta na brake kwa wakati mmoja so acha gari yao ijipige screenshot[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu tusilalamike.Tuliyataka wenyewe Ebooo!!
View attachment 1581980
Pumbavu kwani ulivyoambiwa tunajenga miradi mingi kwa pesa zetu wenyewe nyie mlizani magufuli na taifa kwa ujumla tunazitolea hela kwenye kunyeo.
Jiwe akishinda Urais siyo Mungu pekee atakaye tushangaa bali mpaka shetani atatushangaaOkay.Yaan anaanzisha nyuzi ,nyingi zenye mlengo huo.Mara hao ,JPM akishinda Bahama nchi.Mpuuzi sana.JPM mitano tena
Au sio.!Wewe mwenyewe hauna akili timamu.
Hariri ulicho andika ndio utajua kama hauna akili timamu.