Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Viewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke

kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers

hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji

mwalimu aliye master game ambae kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB
Hivi ukiwa na viewers wengi youtube wanalipa??? Naomba kujua
 
Jama wa wcb wachafu wametumia nguvu nyingi Sana kumlinganisha rayvan Na tambo wakati tembo anamzidi hadi babayao
 
Jama wa wcb wachafu wametumia nguvu nyingi Sana kumlinganisha rayvan Na tambo wakati tembo anamzidi hadi babayao
Amzidi kwanza rayvanny, achukue BET, AFRIMMA, AFRIMA, AEUSA, STAQAWARDS, SOUNDCITY AWARDS, VIEWERS, SUBSCRIBERS, STREAMS ndo aje kupambana na DIAMOND PLATINUMZ THE GOAT.
 
Back
Top Bottom