Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Unapozungumziaa viewers YouTube unatakiwa uangaliee idadii ya wasanii wanaokujaa juu sahiviii ...sahiv nyimbo zinatoka NYINGI na nzurii na wasanii ni wengi wazuriii ,,,enzi zile hiphop haifikishi viewers hats 500k lakn sahiv mpka 1.5m .Unajua kwann idadii ya waimbaji kubwaa cha Kwanzaa,na mashabiki sahiv mziki mzuri ..
Nakupa fact kwa diamond nyimbo yake ya mwisho aliyowashirikisha wale jamaa fulan ,haikuwahii kufikaa trending no 1 YouTube na viewer 1m imetafutaa sana ..

Kwahiyooo tatizo sahiv wako wakina Mario wakina kituga wengi wazur kwahiyooo kila msanii ni muda wa kutunga nyimbo nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ki2ga naye ni msanii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania imejaa malimbukeni.

Siku hizi ubora wa nyimbo eti unapimwa kwa YouTube Views !

Ndio maana Diamond siku hizi kaacha Muziki, anafanya YouTubing na kuuza Drama.

Kaangalie Nyimbo zifuatazo:

1. Billie Eilish ( Huyu Kazoa Tuzo 5 Za Grammy 2020 ) na hana views 800M au bilions kama wenzake.

2. Lizzo ( Kachukua Grammy 3 )

Tatizo Tanzania Kuna Ujinga Umekuwa Mwingi kutoka kwa vitoto vilivyo radicalised na Instagram

Ni Kama Tumerogwa Siyo Bure.

Siku hizi hata nyimbo nzuri hazipati nafasi kabisa Kwasababu Ya Ujinga Wa Watu Wachache.

Ndio maana mpaka kina Young Killer nao wameanza kuwaomba collabo kina Gigy Money ili watrend wapate 1M Views.

Good Music Compromised
Sasa kama hana 800 ila ana 100 hao ni wachache? angekuwa na 500k sawa kasome urudi ebooooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa mnajidanganya Tu viewer ni mhimu Sana kuhit worldwide , akina davido wanagonga mpak viewers [emoji817] mil , Justin Bieber anagonga viewers mpak 3bill , YouTube wenyewe huwa wanazipush Ngoma zinazotambaa sana watu weng wanawekewa kama recommend ...

Endeleeni Kujidanganyana sasa na view zenu laki tatu , konde boy Hana platform ya kufanya Ngoma zake ziende , yupo alone , Hana much support , anatoa Ngoma back to back ambazo ni normal Sana na nying zinakuwa ignored , mastermind wa hv vitu bongo nzima na Africa anajulikana ni salaam sk huko aliko konde boy hamna kitu , aendelee Tu kucheza twist japo kipaji anacho...
Kipaji cha singeli na mipasho[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kidding

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnajua au sijui ni mnakariri mpaka nyimbo ifikishe viewers 1M ndio kubwa hata breezy sometimes anatoa ngoma zinabuma hazifikishi viewers ambao huwa anafikisha nyimbo nyingine hv unajua kuwa Bieber ndio msaani mwenye subscriber wengi YouTube ana 50M nk.. lakini hana hata nyimbo 1 katika nyimbo 10 ambazo zimeangaliwa sana YouTube [emoji23][emoji23][emoji23] ukitaka kujua mengi njoo Pm mm ni kama maktaba entertiment naijua vzr na ninaifuatilia coz napenda sana music.
Kalale bhana kichwa ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hv umenielewa nilichosema hapo mwanzo kwamba sio kila muziki ambao haukufanya vzr YouTube wa msanii fulani ndio kipimo cha maisha yake ya music unawajua wakina Celine Dion ww hawana nyimbo nyingi YouTube lakini unajua show yake moja ni dolla ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23] usikurupuke acha na mahaba ya kijinga. [emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana nikasema kuwa JB ana sub wengi lakini hayupo hata kwenye top 10 ya most viewed song kwahiyo JB ajui kuimba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kojoa unakueupuka dogo leta fact tukusushie nondo hadi ukimbie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ukiboost maana yake umepata viewers fake?
Wabongo bado washamba sana kwenye hizi issue za mitandao alaf kibaya hamtaki kujifunza..
Jipe elimu kidogo, anzia hata na facebook ads utaelewa kinachoendelea kwenye hizi issue.
Hakuna boosting ndugu YouTube wanalipa pesa hawawez kulipa pesa kwa viewers fake

Rayvanny ametia wimbo mzur ambao unaendana na wakati

Hata uchaguzi wa Jina la wimbo kwa vanny uko makin sasa huyu mmmm

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mlipomchomoa kundini mlisherekea mkijua mmekua washindi bt now anapoteza uelekeo mnakuja na news za kulia lia pambaneni na hali zenu
 
Ye hawezi kufanya boosting!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inahitaji gharama kubwa diamond anaweke mpunga mrefu huko ndo mana na siku hizi huwa naona baadhi ya post zake huko facebook zinakuwa sponsor mana kwamba zimelipiwa ili ziwafikie watu wengi waone hakuna uchawi mwingine wakufanya watu wengj wakangalia video zako
 
Tatizo mnajua au sijui ni mnakariri mpaka nyimbo ifikishe viewers 1M ndio kubwa hata breezy sometimes anatoa ngoma zinabuma hazifikishi viewers ambao huwa anafikisha nyimbo nyingine hv unajua kuwa Bieber ndio msaani mwenye subscriber wengi YouTube ana 50M nk.. lakini hana hata nyimbo 1 katika nyimbo 10 ambazo zimeangaliwa sana YouTube 😂😂😂 ukitaka kujua mengi njoo Pm mm ni kama maktaba entertiment naijua vzr na ninaifuatilia coz napenda sana music.
Acha kudanganya umma sorry na what do u mean zina billion views youtube
 
Kweli ww sio mueleea toka lini YouTube ikawa kipimo cha msani kuwa ndio mwisho wake?

Ndio maana nikakuambia JB ana sub wengi mbona hafikishi hata 1B nyimbo zote anazotoa inamaana ajukuimba na ndio mwisho wa maisha yake kimuziki?

Unamjua mtu anaitwa Alan Walker ww ana average ya nyimbo nyingi kufikisha viewers 100M mara ngapi ww Ulishawahi kumuona akiwa katika chat za Billboard inamaana hajui kuimba kama hajui anapataje viewers mpaka 2.5B huko mbona hawi kwenye chart kubwa hata kwenye tuzo hayumo!

Vp kuhusu Davido mbona kazidiwa sub na Daimond lakini kwenye mafanikio ya muziki nani ni mkubwa?

Huwezi kutoa data za msanii kushindwa kwa kutumia YouTube mbona uno hamkusema kuwa kondeboy kapotea? Huyo Alan Walker pamoja na kuwa viewers wengi YouTube lakini kuna ngoma anaviewers 7M utasema hajua au ni nn?

Sitaandika tena ndio nimemaliza hivyo kwenye huu uzi kubishana na ww.
Hapa jf watu wanaongea tu bila fact zozote! Kama huyu anasema nyimbo za jb hazijawah fikisha billion views on youtube!! Sorry 3.2 b, what do u mean 2b, baby 2.5b! 2sidanganyane humu kama hufatilii mambo usidanganye umma
 
Tusisahau kukumbushana kila mara zile ni views (clicks) sio idadi ya watu (viewers).
Na hata kwenye subscribers/followers sio idadi ya watu cause mtu mmoja anaweza ku subscribe/follow kwa akaunti feki nyingi tofauti
 
Back
Top Bottom