Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Super Villain,
Celine Dion amehit kpind ambacho maswala ya mitandao hayakuwa na nguvu Sana , Ila tayar alishakuwa well known , hata bob Marley angekuwepo Leo show yake mpunga usingekuwa wa kitoto.... Kwa mziki wa sa hv mtandao ni mhimu bila hvo huchomoki, ili uteke soko la mtandao pia kuna chocho na Kona zake , mf YouTube unaweza ukawa sub wachache Ila view zikawa nying Kwa sababu Ngoma uliyotoa ni nzur inakuwa supported na vtu kama radio , tv social network n.k na hvo user Weng wanakimbilia YouTube kuitazama

Kwa nchi zetu YouTube inateka soko Sana sababu sio ghal na almost zero cost tofaut na sportfy ... Ila in the long run inabd utengeneze fanbase kubwa kwenye Kona zote za kimtandao kuanzia fb, Twitter, insta n.k, hii itakufanya upate sub Weng , kias kwamba hata ukitoa Ngoma mbovu inaenda Tu vzur , Diamond sa hv anazunguka huku na kule akiwa huko anatengeneza fanbase ya hatar , hii inamsaidia Sana,
 
Mmhh.. Mkuu umeniacha hapooo.

Em nieleweshe vizuri.. Viwers na Views!?!??? What's the difference????
Chukulia mfano video moja imeangaliwa na watu 10 af kila mtu kairudia mara 3. Hapo views ni 30 (10*3) lakini viewers ni kumi tu ambao ndio actually wa muhimu
 
Hizi wanafanya boosting na hii ni mipango ya kuhalibu upepo upande wa pili ndo mana Inakuwa hivyo rayvan hajawahi kufikisha viewers 1M kwa siku tatu
Hakuna boosting ndugu YouTube wanalipa pesa hawawez kulipa pesa kwa viewers fake

Rayvanny ametia wimbo mzur ambao unaendana na wakati

Hata uchaguzi wa Jina la wimbo kwa vanny uko makin sasa huyu mmmm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukulia mfano video moja imeangaliwa na watu 10 af kila mtu kairudia mara 3. Hapo views ni 30 (10*3) lakini viewers ni kumi tu ambao ndio actually wa muhimu

Wouh! Thanks.

Basi konde boy atapata tabu sana. Kapoteza sana.

Title tu za ngoma zake hazivutii mtu kuanza poteza bundle lako.

He doesn't change he is fuxked up!
 
princess ariana,
Viewers wanasaidia kukuza brand hasa nje ya nchi (si ndani ya nchi). Kuna waliotoboa bila kuwa na viewers kivile kama Burna ila wengi wanategemea viewers ku push nje, kupata nomiations za tuzo, nk.
 
Mi naamini hii mipasho ya Harmonize ingetolewa akiwa WCB ingekuwa hits kubwa sana... hasa hii singeli "Hujanikomoa"... Sisi mashabiki damu wa WCB hatunaga noma na wasanii wetu, hata uimbe utumbo ni lazima tukusapoti... Ila ukiwa nje ya hapo tutakusikia kwenye bodaboda, saluni, mabasi ya mikoani, vilabuni na disco vumbi inakuwa imetosha... Yaani niende youtube kupoteza bando langu na muda wangu na hujanikomoa? wakati huku kuna teamo? Sifanyi huo ujinga hata kwa bure
 
Tatizo mnajua au sijui ni mnakariri mpaka nyimbo ifikishe viewers 1M ndio kubwa hata breezy sometimes anatoa ngoma zinabuma hazifikishi viewers ambao huwa anafikisha nyimbo nyingine hv unajua kuwa Bieber ndio msaani mwenye subscriber wengi YouTube ana 50M nk.. lakini hana hata nyimbo 1 katika nyimbo 10 ambazo zimeangaliwa sana YouTube [emoji23][emoji23][emoji23] ukitaka kujua mengi njoo Pm mm ni kama maktaba entertiment naijua vzr na ninaifuatilia coz napenda sana music.
Huna ujuacho mbwa wa Kik...e wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna boosting ndugu YouTube wanalipa pesa hawawez kulipa pesa kwa viewers fake

Rayvanny ametia wimbo mzur ambao unaendana na wakati

Hata uchaguzi wa Jina la wimbo kwa vanny uko makin sasa huyu mmmm

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kupata viewers 1M kwa siku moja bila boosting watu wameweka mpunga mrefu usidanganyike kihivyo mkuu wasanii hawaingizipesa kihivyi huko youtube
 
Naunga mkono hoja. Kuna nyimbo nyingi sana ndani na nje ya Tz ambazo zimebamba kiafrica hadi dunia, ambazo mtaani zinapigwa yani Hit song
ila ukiingia Youtube viewers 500k
kama Wimbo wa burna boy anybody una viewers milioni 21 kwa miezi7 umehit worldwide na hauchoshi viewers wakawaida sana kwa ukubwa wa hio ngoma.
sidhani kama viewers wana mata sana labda kwenye hela

Sent using Jamii Forums mobile app
wengine kama akina burnaboy wamewekeza zaidi kwenye platforms tofauti na YouTube kama sportfy iTunes na kadhalika ko usishangae sana coz huko wanapiga pesa kuliko hata huko YouTube na hata hzo nominize wanapata kulingana na streams za huko
 
Back
Top Bottom