Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Wabongo ushamba wa YouTube haujawahi kuwaacha salama tatizo mmechelewa sana kuijua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa mambo yapo mtandaoni darassa ngoma yake iliyohit na yenye viewers wengi ni Muziki.
Tatizo mnajua au sijui ni mnakariri mpaka nyimbo ifikishe viewers 1M ndio kubwa hata breezy sometimes anatoa ngoma zinabuma hazifikishi viewers ambao huwa anafikisha nyimbo nyingine hv unajua kuwa Bieber ndio msaani mwenye subscriber wengi YouTube ana 50M nk.. lakini hana hata nyimbo 1 katika nyimbo 10 ambazo zimeangaliwa sana YouTube πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukitaka kujua mengi njoo Pm mm ni kama maktaba entertiment naijua vzr na ninaifuatilia coz napenda sana music.
 
Uyo jamaa anataka kuleta ujuaji akati ni wazi kwa sasa mafanikio ya msanii yanaoneka kwenye mitandao ndio ao views YouTube watu wanao stream sportfy boomplay nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujui chochote subiria kuhadisiwa na hao watu wa vijiweni huko kwenu.πŸ˜‚πŸ˜‚ acha ushamba wa kukariri.
 
Ujuaji mwingi afu mbele kiza leo hii despacito ndo nyimbo yenye views nyingi lakini Luis fons hana subscribers wengi compared to jb hivyo basi kwenye swala la malipo huwezi wa compare pamoja harmo ana subscribers wengi kuliko reyvan lakini kwenye fact ya mafikio ya kutazamwa na wengi YouTube kwenye nyimbo zao za sasa you can see the difference

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Billboard chart huwaga zinaandaliwa kwa kutizama vitu vingi sana Kuanzia rotation kwa radio na TV,chart mbalimbali za Radio na TV na streams kwenye digital platform kuanzia (Youtube,Itunes,Sportfy,Tidal nk).

So kuwa na views wengi Youtube ni moja ya criteria inayo reflect nyimbo kufanya vizuri.
 
Ujui chochote subiria kuhadisiwa na hao watu wa vijiweni huko kwenu.[emoji23][emoji23] acha ushamba wa kukariri.
Kama kukariri we jamaa ni mshamba wa mwisho ko ili nyimbo ionekane inamafanikio kwako we unaangalia nn mana saizi kila kitu ni mtandao
Boom play walitoa list ya wasanii walio fuatiliwa zaidi uo ni mtandao
Sportfy walitoa takwimu za wasanii wolio kua streamed sana
Audio mark
YouTube
Apple music
Tidal nk
Wote hufanya ivyo na ndio wasanii hupata kipato uko mean na ngoma kua na views nyingi msanii ndo anapata mtonyo

Ebu wewe mjuaji tuambie ili ngoma ionekane inamafanikio unaangalia nn au ndo adi ichezwe mawinguni kwe radio yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo jamaa ajui ata anacho kibisha anabisha tu irimradi na yy aonekane anajua akati ni chenga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hv umenielewa nilichosema hapo mwanzo kwamba sio kila muziki ambao haukufanya vzr YouTube wa msanii fulani ndio kipimo cha maisha yake ya music unawajua wakina Celine Dion ww hawana nyimbo nyingi YouTube lakini unajua show yake moja ni dolla ngapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usikurupuke acha na mahaba ya kijinga. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na ndio maana nikasema kuwa JB ana sub wengi lakini hayupo hata kwenye top 10 ya most viewed song kwahiyo JB ajui kuimba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu acha kubishana na hivyo vitoto vinuka mikojo ya mama zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeisha

kelphin kepph
 
awalaumu walomshika masikio, tepete alomshirikisha mr eazi mnijeria hata 600k haijafka...
miluzi mingi humpoteza mbwa ngoja akome alijigamba sana na mipasho yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…