Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

nasikia kondoo boy anawindwa sana na chui ili atafunwe huko porini, mwambie achukue tahadhari chui yupo mawindoni
 
Yes ni kweli mkuu, mfano kafia gheto ya Hussein machozi , ngoma Kali views chache
 
Harmonise kila wimbo anavua shati sijui nani kumwambia huwa anapendezea
 
keshampita now. 2.06 vs 2.09 in favor of vannboy
 
Ni ngumu kupata viewers 1M kwa siku moja bila boosting watu wameweka mpunga mrefu usidanganyike kihivyo mkuu wasanii hawaingizipesa kihivyi huko youtube
na yeye si aboost.. unataka kuniambia jeshi hajui michezo yote ya wasafi? afanye na yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…