Hivi kweli hili taifa la Marekani (USA) litakuja kupitia kiuchumi?

Dunia ime-advance sana toka enzi za medieval empires. Marekani ni product ya mchakato wa uboreshaji (refinement) wa dhana zote kuu za kijamii toka enzi hizo.
Unajua ni sababu zipi zinamfanya U.S.A apoteze ushawishi Africa , Middle East , Baadhi ya mataifa ya America ya Kusini na Baadhi ya mataifa ya Asia na baadhi ya mataifa ya Ulaya ? Na unajua ni sababu zipi zinaifanya china kupata ushawishi kwenye hayo maeneo ?[emoji848]
 
Dunia ime-advance sana toka enzi za medieval empires. Marekani ni product ya mchakato wa uboreshaji (refinement) wa dhana zote kuu za kijamii toka enzi hizo.
Dunia ni ile ile Ila hao walifanya makosa yakawafanya wapoteze ushawishi na kuanguka same as U.S.A anavyofanya makosa ambayo yatampelekea kuanguka pia .moja la kosa kubwa U.S.A analofanya ni kuingilia mambo ya nchi na kuzitishia usalama tawala zinazokuwa ambazo azikubaliani na yeye hili ni kosa kubwa Sana linalompunguzia ushawishi duniani kwa kasi kubwa Sana uku mshindani wake China akiitumia hii Kama advantage kwake
 
Kwani china inaongozwa na mtu moja?[emoji848]. Mfumo wa kiongozi wa China na U.S.A ni Kama unafanana wakati U.S.A wakipiga kura wananchi through mnayoiita democracy alafu watu wachache nao wanapiga kura ya kuamuru mtu huyo awe Rais au la. huku wenzao wachina kiongozi anakuzwa kwenye uongozi from the grassroot alafu watu huku akifwatiliwa kwa umakini pamoja na mitihani ya kutosha atafanya ,pamoja na kuonesha ni nini ameifanyia jamii katika nafasi ndogo ya uongozi aliokuwa nayo alafu wanachama wachache ndio wanamuidhinisha kuwa Rais kwa kuwa anakuwa na ethics zote za kuongoza taifa kubwa la china alafu nyuma yake Kuna kuwa political buro na katiba ya china kumguide
 
Huijui demokrasia?
 
Kipindi cha JPM tanzania tulikua dona kantrii, naamini zuliipita hata Marekani kiuchumi
Yale yalikuwa maruweruwe ya mtu kujikuta ghafla furushi la hazina ya taifa liko mikononi anajichotea anavyotaka na kuzigawa anavyotaka bila kuulizwa na "mjinga" yoyote. Pale alikuwa anamuona hata Trump au Bill Gates kama vinyago fulani hivi. Dona kantri 🙄; tumetoka mbali sana.
 
Ongezea hapo...

Lugha inayotumika pia inaifanya US kuwa hapo ilipo...

China ataweza kama ataamua pia na kuhakikisha lugha anayoitumia iwafikie wengi au isambae kwenye mabara yote Duniani atafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…