Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Baada yakusoma hii koment naomba niwe mpenzi msomaji tu mgonga like wa hizo zinazofuatia huko chiniNikukubushe kidogo tu.
Ilikuwa Misiri na civilization ya kutosha, badae akaja muashuru akafata Mbabeloni Tena akaja umedi na uajemi, then Mambo yakarudi ulaya ambabo Ugiriki ilitamba chini ya Alexander the great na badae Roma chini ya mpompei, Mambo yalirudi mashariki ya Kati katika enzi za Ottoman empire. Mkuu ulaya iliendelea Tena hapo mara Uk, mara Ujerumanu chini ya Hitler na mambo yakarudi USA miaka ya 1900s. History never stop, the power will continue to shift from one country to another and from one continent to another. Don't worry mabadiliko huwa pole pole lakini huwa linajitokeza Jambo moja tu ndani ya one year na kila kitu kinabadilikika kabisa.
Ila niwakumbushe watu US sio mwisho wa dunia wala mwanzo wa dunia
Sent using Jamii Forums mobile app