Kwa vile umetumia takwimu za GDP kufanya comparison, na ukatumia kigezo hicho kudhania USA hawezi kupita,basi kupitia hicho hicho kigezo cha GDP nakuhakikishie after 20-30 years China atampiku USA kiuchumi ni swala la muda.
Miaka 30 iliyopita (1990),uchumi wa USA ulikuwa USD 5.9 trillion-huku Leo hii mwaka (2022) upo 22 Trillion sawa na ukuaji wa 269%.
Kwa miaka 30 (1990) China alikiwa ba GDP ya USD 360 Billion, Leo hii (2022) China na GDP ya 17.5 trillion sawa na ongezeko la 4762%.
Nakuachia homework, tumia ajili yako hapo ya kawaida kabisa,after 20-30 years to come nani atakuwa na uchumi mkubwa?
Usidhani viongozi wa USA ni wajinga kila siku kumpiga vikumbo China na vikwazo vya biashara,wanajua kinachoenda kutoka baada ya miaka kadhaa.