Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Damage controllers lazima mjae na mawazo yenu kutoka kwa wauwaji wenzenu na wazee wa ivyo kina wassiraKwani alikuwepo nchini?
Damage controllers lazima mjae na mawazo yenu kutoka kwa wauwaji wenzenu na wazee wa ivyo kina wassiraKwani alikuwepo nchini?
Huu Uzi ulivyoanza umeonesha kuwa polisi wajinga kudhani polepole atakua tz tena kwa dada yakeDamage controllers lazima mjae na mawazo yenu kutoka kwa wauwaji wenzenu na wazee wa ivyo kina wassira
While other countries send even the whole plane to fetch one of their own in danger, ours is different. ShameKaka zake wamekata tamaa kabisa? Watanganyika wamemsahau kabisa? Wanasisiemu wenzake wamapotezea kabisa?
Vyombo viliona hana umuhimu kabisa kwa taifa hili?
Hii nchi ipoje hii