Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Hii bidhaa ya amani na utulivu imeuzwa muda mwingi hapa Tz na wanasiasa je nini hasa wanamaanisha wanaposema hivi kisaikolojia naona kunakitu nyuma ya pazia. Hebu waliosoma saikolojia watujuze au ni uoga wangu???
 
Haki ipi ya kuabudu unayodai kama sio undezi, kabla hujamlalamikia Samia kwanini usikemee usanii wa huyo Tapeli mmiliki wa hayo makanisa yalofungiwa? Kulikuwa na haja gani ya yeye kutumia madhabahu kwa mambo ya kisiasa? au hiyo ndio ibada unahodai wewe??
kuna wakati hamjui hata mnataka nini..?? mara mseme utekaji mara ooh kafungia makanisa!! makanisa na miaka yote alikuwepo mbona hakufungiwa? Nchi hii kuna utitiri wa makanisa mangapi na mbona kafungiwa yeye tu? Yaani yeye anauspesho gani kwamba hata akivunja sheria asiguswe? Msikiti wa Mwembe chai uliwahi kufungiwa mwishoni nwa miaka ya tisini na Serikali mbona hakukuwa na makelele kama haya? Haitajalisha ni nani, ukivunja sheria, ukihatarisha amani utashughulikiwa tu.. SHENZI KABISA!!
ni gwajima peke yake ndio ametumia madhabahu kukemea utekaji? mbona katoliki wanakemea hadi kesho ila mmefyata mikia yenu hamna nguvu yeyote kwao? kukemea uuaji madhabahuni ni siasa? kama ni hivyo, kile kifo mnachosababisha kwa wenzenu na kikufuate wewe kwa Jina la Yesu! na ufahamu kabisa kitakapokuja kuwa kinakuja kwa sababu ya udhalimu wako.
 
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini

Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..

Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejulikana wote

Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Sasa kama angekuwa Tanzania angejificha kwa dada yake? Kuna watu dunia hii hawatumii akili. Taxpayers money zinachezewa. Yeyote ana haki ya kujiuzulu nafasi aliyopewa
 
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini

Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..

Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejulikana wote

Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
 
Tatizo lenu ni Udini Mbwa nyie..
Magu aliua, alitesa alizuia mikutano ya siasa na alifanya kila aina ya ukatili ila hatukuona mlolongo wa matamko na udhalilishaji wa kiwango hiki cha sasa kwa Rais.

Hii Nchi sio ya kanisa wala msikiti bali sio ya sinagogi. ni ya watanzania wote bara na visiwani. Wakati Magu anafanya hayo yote Polepole alikuwa mlamba viatu mzuri sana. leo kiherehere cha kukemea aliyoyaasisi mwenyewe anakitolea wapi?
Na nyie manyumbu mnayempamba kwa hayo matamko yake ya kibangi bangi hamkumbuki ni yeye kipindi hicho aliziba pamba masikio na akatamba kwa kauli za kebehi hata akaitwa mzee wa mavieite? Ila Leo mnamuona mpakwa mafuta? Kwanini asikemee kipindi kile anakemea leo? kama sio ajenda ya Udini ni nini¿ Chokochoko mnazozianzisha kwa kisingizio cha uhuru wa kusema, demokrasia na ujinga gani sijui twajua nini mnachokilenga. Uzuri vyombo vya ulinzi pia viko macho. kenge yeyote atakayekuwa sababu ya kuhatarisha usalama wa Taifa hili ashughulikiwe ipasavyo. TUMECHOKA NA UPUUZI WENU.
Wewe ndiye unayeingiza udini hapa. Wakati Lissu ananusurika kifo baada ya kupigwa risasi 16 ulikuwa umeshazaliwa? Kwa akili yako, Lissu na CHADEMA yake walikuwa wanapinga utawala wa muislamu kipindi hicho?
 
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini

Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..

Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejulikana wote

Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Unachukua makada na kuwafanya TISS unadhani akili itatoka wapi ?
 
Back
Top Bottom