M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Exactamente amigo.Sasa kama mtu alishakuwa Cuba unafikiri ni boya?
Exactamente amigo.Sasa kama mtu alishakuwa Cuba unafikiri ni boya?
Ni kikao gan mnacho fanya usiku au ninyi ndo ndiye😆😆😂😂😂😂😂😂 umeniponza kiongozi, nimeangua kicheko mbele za kundi la watu kwenye kikao.
Halafu mi naona kweli akili hawana, wamezima mitandao ili tusione live lakini still tumekuja kuiona recorded, kwa akili yao wanadhani kuona live na recorded content inakua na utofauti!!Mkuu Mshana Jr . Hivi unadhani ''hawa watu'' wana akili? Tukiona wanavyoteka na kuua vijana wadogo kabisa wasio na hatia tunaweza kudhani wana akili hata za kuvukia barabara? Ukiona wanapiga picha eti wakifuatilia ''kesi'' ya Lissu unadhani kuna ubongo hapo? Yaani kwangu mimi nadhani kuna kikundi cha watu wajinga kabisa, na possibly kinasimamiwa na wajinga wenzao (may be mzee wa mapete na Abdul?) kufanya operation. Hivi hata kuzima mitandao leo ilikuwa ni lazima?
Watu wakuokotwa hata JKT hawajapitia wengi wao hawa wenye majina kama junior.Hao wanaopewa kazi kuvamia watu na kuteka wanakwenda kaa manyumbu,unprofessional kabisa
Sijui huwa wanawa waokota wapi
Kuna watu wanatuharibia nchi, Mungu naye atawaharibu.Wengine wanasema yupo miami USA banda ya kupewa ile namba.
Nilichogundua tuiombee nchi yetu Amani idumu milele .
Tatizo Mshana Jr hatuna mbadala kabisa. Kwa sababu wapinzani wote wana bei na hawajui misingi ya utawala bora. Can you imagine hiki chama mfu cha chadema kilivyosambaratika. Hivi ni akili kweli top management yote iondoke kisa mwenyekiti kashindwa uchaguzi??? Yaani leo kigaila awe wa kuisema vibaya chadema??? In short upinzani kwa sasa unatengenezwa na mfumo na kuuliwa na mfumo until when wakijitambua ila now wote wananunulika!Tukipumzishe chama chako! Kimechoka
If you can't stand the heat. Get out of the kitchen. ... 🔥Wanaendeshwa kwa mihemko, maagizo. Hawawezi kufanya kama kazi yao inavyowataka. Iwe Idara au policcm. Ukiangalia ni sheria ipi Polepole amevunja, mpaka wanamtafuta?
Hawataki watu waseme ukweli, wanachotaka kusikia sasa hivi, ni kusifia tu!!! Hawezi kutenda mabaya, watu wasiseme, watasema tu. If you can't stand the heat, get out of the kitchen.
Ndio taratibu zilivyoSijui kama hata wanamjua
Maana kamanda Murilo wakati anasoma taarifa ya kupatikana kwa Dada yake na Polepole alisema taarifa za kuvamiwa huyo dada zilitolewa na mtu aliyejitambulisha kama Humphrey Polepole.
Kwa hiyo kwa mujibu wa nukuu hiyo ni wazi kuwa mpaka saizi hawajaweza ku confirm Identity ya huyo mtu aliyejitambulisho kwa majina hayo
Haki ipi ya kuabudu unayodai kama sio undezi, kabla hujamlalamikia Samia kwanini usikemee usanii wa huyo Tapeli mmiliki wa hayo makanisa yalofungiwa? Kulikuwa na haja gani ya yeye kutumia madhabahu kwa mambo ya kisiasa? au hiyo ndio ibada unahodai wewe??magu alifunga kanisa gani? bianfsi samia akifungua makanisa naweza kumvumilia kwa sababu kuna mengi mazuri kafanya. ila kama anafunga makanisa sioni kama ana faida kwangu. pia, kati yangu mimi ninayedai haki ya kuabudu, na wewe unayeniida mbwa kwa sababu nadai ibada, nani mdini? kati ya anayeomba apate nafasi ya kuabudu na anayefunga makanisa nani mdini? akili zako ni kama za mbwa jike ambaye hata hajui nani alimzalisha. mwisho wenu utafika tu.
Michezo ya KitotoHalafu mi naona kweli akili hawana, wamezima mitandao ili tusione live lakini still tumekuja kuiona recorded, kwa akili yao wanadhani kuona live na recorded content inakua na utofauti!!
Tehetehe tehetehe unachekesha kweli kwahiyo hawatakiwi kuwa na akili ndio maana basi huwaga wako hivyo walivyoUsali wa kuajiriwa kuwa polisi
Mbio
Urefu.
Kifua kipana kama ( mchengerwa)
Wanapunguza sauti ya tv ili kusoma sms😂😂Halafu mi naona kweli akili hawana, wamezima mitandao ili tusione live lakini still tumekuja kuiona recorded, kwa akili yao wanadhani kuona live na recorded content inakua na utofauti!!
Hapana Dkt Magufuli tunamsingizia kabisa. Aliyetufikisha hapa ni Mwl Nyerere. Kasanga Tumbo, akina Aboud Jumbe ilikuwaje??? Hiyo misukule yote ya hao waliopotea enzi za Mwl wapo wapi? Mwl alitengeneza mfumo wa kutekana na kupotezana na yeye ukaja kumlamba na kila rais unamlamba yaani hata Jk utamlamba tu hahaha hata Samia utamlamba tu hahahahaMagufulo ndio alitufikisha hapa.
Mudawote haya maneno kwamba hatuna mbadala ndio yametufikisha hapa... Hatupaswi kuyapa tena nafasi..imetosha sasaTatizo Mshana Jr hatuna mbadala kabisa. Kwa sababu wapinzani wote wana bei na hawajui misingi ya utawala bora. Can you imagine hiki chama mfu cha chadema kilivyosambaratika. Hivi ni akili kweli top management yote iondoke kisa mwenyekiti kashindwa uchaguzi??? Yaani leo kigaila awe wa kuisema vibaya chadema??? In short upinzani kwa sasa unatengenezwa na mfumo na kuuliwa na mfumo until when wakijitambua ila now wote wananunulika!
Jamaa ana codes amesha kuwa na vyeo vikubwa anajuwa njia yakutokea kwenye nyumba yao na amejitanabaisha ni mwana usalama kaz ipo ipo sana yaani ni jasus lililo pikwa kwa kaz maalumu na hii ndio kaz anaifanya chini ya mwamvuli wa majasusi wengine wasio julikana jk alipowabagaza mwenzake wastaafu na wao wameamua kumuonyesha pia ni wa town na kama ccm ina wenyewe basi ajuwe sio wazee ni vijana alafu hawakutarajiwa ngoma ipo mahali inasubiriwa kwa hamu... washike nchi wenyewe wamabaka baka wachapane kisha wawakabidhi watakapo malizaMajira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini
Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..
Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejulikana wote
Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Hii umeiweka vizuri sana! Zile codes zote sasa zimekuwa decodedJamaa ana codes amesha kuwa na vyeo vikubwa anajuwa njia yakutokea kwenye nyumba yao na amejitanabaisha ni mwana usalama kaz ipo ipo sana yaani ni jasus lililo pikwa kwa kaz maalumu na hii ndio kaz anaifanya chini ya mwamvuli wa majasusi wengine wasio julikana jk alipowabagaza mwenzake wastaafu na wao wameamua kumuonyesha pia ni wa town na kama ccm ina wenyewe basi ajuwe sio wazee ni vijana alafu hawakutarajiwa ngoma ipo mahali inasubiriwa kwa hamu... washike nchi wenyewe wamabaka baka wachapane kisha wawakabidhi watakapo maliza
Kuna kikundi cha wezi wa pesa za walipa kodi, kazi yao ni kumchochea mkoloni kaburu afanye mambo ya hovyo kisha wanaomba pesa kwa kisingizio cha kazi maalum ni wizi mpya wa pesa za ummaMkuu Mshana Jr . Hivi unadhani ''hawa watu'' wana akili? Tukiona wanavyoteka na kuua vijana wadogo kabisa wasio na hatia tunaweza kudhani wana akili hata za kuvukia barabara? Ukiona wanapiga picha eti wakifuatilia ''kesi'' ya Lissu unadhani kuna ubongo hapo? Yaani kwangu mimi nadhani kuna kikundi cha watu wajinga kabisa, na possibly kinasimamiwa na wajinga wenzao (may be mzee wa mapete na Abdul?) kufanya operation. Hivi hata kuzima mitandao leo ilikuwa ni lazima?
Utabiri wa shekhe Yahya unasema Mwanamke atatawala kipindi kifupi tu, lakini ibirisi wa ccm wanalazimisha atawale kipindi kirefuJamaa ana codes amesha kuwa na vyeo vikubwa anajuwa njia yakutokea kwenye nyumba yao na amejitanabaisha ni mwana usalama kaz ipo ipo sana yaani ni jasus lililo pikwa kwa kaz maalumu na hii ndio kaz anaifanya chini ya mwamvuli wa majasusi wengine wasio julikana jk alipowabagaza mwenzake wastaafu na wao wameamua kumuonyesha pia ni wa town na kama ccm ina wenyewe basi ajuwe sio wazee ni vijana alafu hawakutarajiwa ngoma ipo mahali inasubiriwa kwa hamu... washike nchi wenyewe wamabaka baka wachapane kisha wawakabidhi watakapo maliza