Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini

Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..

Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejulikana wote

Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Modus operandi ya kushughulika na watu wao wa karibu imekaa vizuri, next time mama yake. Itawafanya wajue ikitokea vita hata ndugu zao watakufa
 
Tatizo lenu ni Udini Mbwa nyie..
Magu aliua, alitesa alizuia mikutano ya siasa na alifanya kila aina ya ukatili ila hatukuona mlolongo wa matamko na udhalilishaji wa kiwango hiki cha sasa kwa Rais.

Hii Nchi sio ya kanisa wala msikiti bali sio ya sinagogi. ni ya watanzania wote bara na visiwani. Wakati Magu anafanya hayo yote Polepole alikuwa mlamba viatu mzuri sana. leo kiherehere cha kukemea aliyoyaasisi mwenyewe anakitolea wapi?
Na nyie manyumbu mnayempamba kwa hayo matamko yake ya kibangi bangi hamkumbuki ni yeye kipindi hicho aliziba pamba masikio na akatamba kwa kauli za kebehi hata akaitwa mzee wa mavieite? Ila Leo mnamuona mpakwa mafuta? Kwanini asikemee kipindi kile anakemea le? kama sio ajenda ya Udini ni nini¿ Chokochoko mnazozianzisha kwa kisingizio cha uhuru wa kusema, demokrasia na ujinga gani sijui twajua nini mnachokilenga. Uzuri vyombo vya ulinzi pia viko macho. kenge yeyote atakayekuwa sababu ya kuhatarisha usalama wa Taifa hili ashughulikiwe ipasavyo. TUMECHOKA NA UPUUZI WENU.
Wewe mbwa inaelekea Polepole kakukomesha leo
 
Kuna kitabu nilikuwa nasoma Cha Jay z kinaitwa Decoded.

Kilinibadilisha Sana mtazamo kuhusu Polisi , Magereza jeshini n.k.


Alisema kuwa yeye binafsi alikuwa anajua kuwa hayupo katika rada za maaskari Ila alikuwa yupo katika rada za Serikali ambayo hawakupenda kuona black wanafanikiwa kirahisi.


Kwahiyo alitumia nguvu kubwa kwenda aganist na serikali ili kuzikwepa rada zao ikiwemo kutojulikana anakaa wapi, anaendesha Gari gani wapi kawekeza n.k

Anasema hawa polisi waliokuwa wakija kumkamata aligundua hata akipanic akawapiga risasi atakuwa haja solve tatizo kwakuwa in deep down polisi wanakuwa wametumwa na Government kwahiyo the really enemy sio polisi ni government.


Akamalizia kwakusema I don't hate armies or military but all I know most of people joins in military because had no better option in life .

Hivyo hata hao waliovamia kwa Dada yake pole pole yawezekana wao wakawa hata hawana wanachoelewa Ila ni kutiii maelekezo wanayopewa na Kama anavyosema Jay z kuwa most of People joins in military because had no better option in life
Hapa uko sahihi kbsa mkuu
 
Unajua Tanzania iko na mfumo wa ukuta. Yaani leo wewe Mshana Jr ukiteuliwa, ujue utapokea info ambazo zimechujwa, yaani inakuwa hivi, mfano, watu wametekwa wewe unaletewa ushahidi na watu ambao umeambiwa wewe ni kiongozi utapokea info hapa na pale, so hao watu wanaamua kukuletea info za ukweli mwanzo then ukishawaamini wanaanza kukuletea za uongo ili waku control na hapo ndiyo viongozi wetu wa kisiasa wana feli
Noted rafiki kakini nilichokigundua bongo ni watu kupenda kukaa ofisini na kusubiri taarifa za watendaji wa chini.. Hii tabia imeligharimu na kuliumiza sana taifa
 
Nilichogundua tuiombee nchi yetu Amani idumu milele .
AMANI haiombewi. AMANI ni matokeo ya kutenda HAKI, kutendeana kwa HAKI...

AMANI sio tendo linalokuja automatic pasipo kutenda wajibu fulani...

Hata tukimwomba Mungu atupe AMANI, bado jibu lake ni kuturudisha kutenda vyema yale tunayoyakosea kuyatenda na kuifukuza AMANI tuitakayo....

Jibu lake litakuwa mtaipata AMANI kama mtatendeana nyie kwa nyie kwa HAKI maana mimi Mungu wenu ni MUNGU wa HAKI..!

KWA HIYO: Hakutakuwa na AMANI bila kuomba Mungu atupe neema ya kutendeana kwa HAKI..

NA KWA HIYO TENA: Tutakuwaje na AMANI kama hatujui kuwa hii AMANI tuiombayo ni tunda la HAKI...?
 
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini

Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..

Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejulikana wote

Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Ingekua vyema sana hao watu wakaanikwa ili tuzidi kuona ubaya na unyama wao. Kuficha hzo sura zao ni kunajisi maamuzi ya pole polw
 
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini

Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..

Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejulikana wote

Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Haya ndio madhara ya kukaa jf na kuamini una jicho la kuona mbali kuliko serikali.
 
Back
Top Bottom