Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Walizima mitandao?Mkuu Mshana Jr . Hivi unadhani ''hawa watu'' wana akili? Tukiona wanavyoteka na kuua vijana wadogo kabisa wasio na hatia tunaweza kudhani wana akili hata za kuvukia barabara? Ukiona wanapiga picha eti wakifuatilia ''kesi'' ya Lissu unadhani kuna ubongo hapo? Yaani kwangu mimi nadhani kuna kikundi cha watu wajinga kabisa, na possibly kinasimamiwa na wajinga wenzao (may be mzee wa mapete na Abdul?) kufanya operation. Hivi hata kuzima mitandao leo ilikuwa ni lazima?