Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini

Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhunj hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..

Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejikana wote

Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Unaambiwa Mbwa ukimjua Jina hakung'ati
 
CCM na serikali ya Samia ni mashetani.

GwEqWZ_XQAAXxWV.jpg
 
Sidhani kma serikali wanaweza kukurupuka ivo kwani mnara wa simu si utaonyesha tu kma huyu yuko wapi

Mambo mengine ni ufikiri mdgo tu

Povu rukhsa
Mnara unaweza ku cover eneo 35km radius..., hivi kwenye 35km radius kuna mitaa mingapi, nyumba ngapi, watu wangapi?

Mnara ni ngumu kufahamu exactly location ya mtu..

Mtu akitumia whatsapp ndio kabisa huyo sahau humpati...
 
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini

Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhunj hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..

Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejikana wote

Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Huenda walitiwa upofu ili wasiojulikana waanikwe hadharani.
 
City Thunder OKC we ulisema jana kwa uhakika mkubwa kwamba Polepole yupo Bongo?
Intelijensia ya zamani miaka ya kina Nyerere Qualification kubwa walikuwa wanaangalia

Akili yenye Afya
6th sense au mlango wa sita wa fahamu .

Mfano leo polepole kasema yupo Tanzania (Bongo) kuna watanzania 90% wamekubaliana nae ikiwemo state apparatus Ila kuna 10% ambao wanajua kuwa hayupo na wameelewa maneno yake vizuri .

Kuna mmoja anaongea na kuna mmoja anaelewa maneno na mwingine anaelewa maana ya hayo maneno

Kama umeona alivyojibu swali la kukamatwa kwa lissu . mmoja atatafsiri tofauti Ila kajibu kitaalamu Sana yaani nyie wakati mnaona mnamkoa kumbe ndo mnampa fame ya bure na mkija kugundua huo mchezo mtakuwa mmeumia sana .

Kwahiyo kumjua the really enemy is not easy.
 
Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini

Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhunj hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..

Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejikana wote

Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Sema CCM ya sasa inaabisha mpaka naona aibu kujitambulisha kama mwana CCM, yaani hatuamini ktk ushindani wa hoja bali kuuana na kuteka a na kutishiana
 
Back
Top Bottom