Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Lakini watu wa Intelijensia

Je mmeweza kugundua kitu kuwa kutokuwepo kwa ligi kuu simba na yanga mmeona ambavyo taifa limekuwa awakening kuhusu mambo ya kitaifa .

Mfano angalieni mambo haya
Gwajima alivyofanya mahojiano yake
Kesi ya Lissu imekuwa na watazamaji wengi Sana
Issue ya pole pole Leo imeenda Sana viral


Kwahiyo hizi timu tukubali au tukatae tunazipenda Ila tusisahau ndo chombo au silaha ya kuwapumbaza watanzania .


Mmeona issue ya MO ameongea Ila no body care

Yaani kwa sasa nchi imekaa njema watu wanafatilia mambo ya msingi na vijana wanaomiliki TV online wansema Allamdullilah mambo mazuri Sana .

So hizi timu ligi ikianza tu msitegmee mijadala mizito Kama hii kupewa airtime .
 
Bi Chura akijaribu kukata network.
 

Attachments

  • IMG_1897.jpeg
    IMG_1897.jpeg
    98.6 KB · Views: 19
Sema CCM ya sasa inaabisha mpaka naona aibu kujitambulisha kama mwana CCM, yaani hatuamini ktk ushindani wa hoja bali kuuana na kuteka a na kutishiana
Pole pole na mapungufu yake yote niliyokuwa nayajua kumbe yuko vizuri kiasi hiki.. Sasa sijui kwanini kipindi cha mwendazake aliamua kuwa mpumbavu
 
Duh tukubali tuu tuko under worse dictatorship than Iddi Amin, ukiongea tuu Ushungi asipopenda ni kifo, kesi au kupotezwa , no one safe hata machawa siku mkibugi step 3 K zinawahusu, acheni kusupport huu ushenzi wa Ushungi unaoendelea mnaharibu Taifa
Bila shaka yoyote. Samia The Killer is a monster!
 
Pole pole na mapungufu yake yote niliyokuwa nayajua kumbe yuko vizuri kiasi hiki.. Sasa sijui kwanini kipindi cha mwendazake aliamua kuwa mpumbavu
Unajua Tanzania iko na mfumo wa ukuta. Yaani leo wewe Mshana Jr ukiteuliwa, ujue utapokea info ambazo zimechujwa, yaani inakuwa hivi, mfano, watu wametekwa wewe unaletewa ushahidi na watu ambao umeambiwa wewe ni kiongozi utapokea info hapa na pale, so hao watu wanaamua kukuletea info za ukweli mwanzo then ukishawaamini wanaanza kukuletea za uongo ili waku control na hapo ndiyo viongozi wetu wa kisiasa wana feli
 
ndo utamaduni tulio jiwekea baada ya mkapa kumaliza kipindi chake, tukaanza kung'oa watoto wa watu kucha, na tukapata pori letu pendwa kwa ajili ya kutesea watoto wa watu,

yaani pol pole ana hoja asikilizwe ila kwa machawa hawa wenye njaa siyo rahisi kumulwa Ndugu Slowslow
 
Duh tukubali tuu tuko under worse dictatorship than Iddi Amin, ukiongea tuu Ushungi asipopenda ni kifo, kesi au kupotezwa , no one safe hata machawa siku mkibugi step 3 K zinawahusu, acheni kusupport huu ushenzi wa Ushungi unaoendelea mnaharibu Taifa
Magufuli ndio aliyeingiza huu ushenzi hapa nchini, huyo mama anatembelea humo humo. Polepole alishiriki ushenzi wote wakati wa magufuli, leo yamemrudi anajiliza.
 
Pole pole na mapungufu yake yote niliyokuwa nayajua kumbe yuko vizuri kiasi hiki.. Sasa sijui kwanini kipindi cha mwendazake aliamua kuwa mpumbavu
Mfumo unatabia ya kumbalisha MTU kumbuka mfumo ukiwa mzuri hata wabaya huonekana wazuri and vise versa yake.

Ila kikawaida mchezaji akitokea benchi huwa anafanya vizuri Sana .

Ukimsikiliza Nyerere akiwa Rais na ukimsikiliza Nyerere ambaye sio rahisi unaona tofauti kubwa Sana .
 
naamini walitaka kuchukua ndugu zake kama ramsom ili asiongee, wamekosa nini sasa? ndio hao kosa la gwajima adhabu wanapewa waumini. kosa la polepole,mange au maria sarungi (kama kweli wangekuwa na kosa) lakini adhabu wanapewa watanzania wote kwa kufunga mitandao. hawajui humo kwenye mitandao wengine ndio wanapata pesa ya kula, wanahubiri wanafanya yote. mfano, wakifunga youtube leo au facebook, sisi tunaosali tutapata shida kwa sababu tunapata mahubiri humo, tunapata na nyimbo. imagine taifa kubwa lenye vyombo vyote vya ulinzi wanaweweseka kwa viwatu vinna au kumi tu hadi kufungia mitandao yote, nadhani wanataka watanzania wasijue wala kuona chochote, waishi gizani tu ili wao wawafanye wapendavyo.
Tatizo lenu ni Udini Mbwa nyie..
Magu aliua, alitesa alizuia mikutano ya siasa na alifanya kila aina ya ukatili ila hatukuona mlolongo wa matamko na udhalilishaji wa kiwango hiki cha sasa kwa Rais.

Hii Nchi sio ya kanisa wala msikiti bali sio ya sinagogi. ni ya watanzania wote bara na visiwani. Wakati Magu anafanya hayo yote Polepole alikuwa mlamba viatu mzuri sana. leo kiherehere cha kukemea aliyoyaasisi mwenyewe anakitolea wapi?
Na nyie manyumbu mnayempamba kwa hayo matamko yake ya kibangi bangi hamkumbuki ni yeye kipindi hicho aliziba pamba masikio na akatamba kwa kauli za kebehi hata akaitwa mzee wa mavieite? Ila Leo mnamuona mpakwa mafuta? Kwanini asikemee kipindi kile anakemea leo? kama sio ajenda ya Udini ni nini¿ Chokochoko mnazozianzisha kwa kisingizio cha uhuru wa kusema, demokrasia na ujinga gani sijui twajua nini mnachokilenga. Uzuri vyombo vya ulinzi pia viko macho. kenge yeyote atakayekuwa sababu ya kuhatarisha usalama wa Taifa hili ashughulikiwe ipasavyo. TUMECHOKA NA UPUUZI WENU.
 
Back
Top Bottom