BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Hiyo njia kitaalam inaitwa'angaisha bwege'
Kuna "name list" majina yaliyosambazwa kwenye entries za nchi ( angani, nchi kavu na bahari) kwahiyo afisa akiingiza jina lako tu lwa ajili ya kukuruhusu uingie au utoke "access" inakuwa "denied" hivyo anaishikilia passport yako na kuwasiliana na wakubwa wakeMe na swali mshana sorry sijui process za pale airport hivi inawezekana ukiingia nchini na mamlaka isijue yaani pale airport hakuna sehemu Una sign kuonyesha umeingia nchini ambayo tiss Wana access nayo
Sasa dada yake Polepole walikuwa wana shida naye kwa lipi?Wanajua Ha yuko Bongo na Ndio maana walimtafuta dada yake na sio Pole pole
Kwamba kasharithi mambo ya Cuba🤓🤓🤓Sasa kama mtu alishakuwa Cuba unafikiri ni boya?
Ndio ndugu zako hao,hawajui wanataka Nini?Sasa dada yake Polepole walikuwa wana shida naye kwa lipi?
Hafrey kuna backup anayo.. Ila haijajulikana nguvu yake na ukubwa wakeSijui kama hata wanamjua
Maana kamanda Murilo wakati anasoma taarifa ya kupatikana kwa Dada yake na Polepole alisema taarifa za kuvamiwa huyo dada zilitolewa na mtu aliyejitambulisha kama Humphrey Polepole.
Kwa hiyo kwa mujibu wa nukuu hiyo ni wazi kuwa mpaka saizi hawajaweza ku confirm Identity ya huyo mtu aliyejitambulisho kwa majina hayo
Siku hizi unaweza kutumia your local number abroad na mtu akakupigia akakupata.. Last month nilikuwa Juba na nilikuwa napigiwa kwa number yangu ya Tz na napokeaUngeangalia press ungeona Kuna wakati alipigiwa simu na polisi akapokea .. polisi hawatumii namba za nje for normal calls maana isingefunction .. use ur brains
Duh!..........zilitolewa na mtu aliyejitambulisha kama Humphrey Polepole.
Ndugu zangu duniani kote hakuna uhuru tunao utaka. Hivi Polepole uliko kaa huko mnajua amekutana na akina nani? Wamepanga nini? Je amekuwaje malaika ghafra tu hivi? 2019 na 2020 aliongoza uharibifu wa uchaguzi.Duh tukubali tuu tuko under worse dictatorship than Iddi Amin, ukiongea tuu Ushungi asipopenda ni kifo, kesi au kupotezwa , no one safe hata machawa siku mkibugi step 3 K zinawahusu, acheni kusupport huu ushenzi wa Ushungi unaoendelea mnaharibu Taifa
Hivyo hata hao waliovamia kwa Dada yake pole pole yawezekana wao wakawa hata hawana wanachoelewa Ila ni kutiii maelekezo wanayopewa na Kama anavyosema Jay z kuwa most of People joins in military because had no better option in life✔✌🏿Kuna kitabu nilikuwa nasoma Cha Jay z kinaitwa Decoded.
Kilinibadilisha Sana mtazamo kuhusu Polisi , Magereza jeshini n.k.
Alisema kuwa yeye binafsi alikuwa anajua kuwa hayupo katika rada za maaskari Ila alikuwa yupo katika rada za Serikali ambayo hawakupenda kuona black wanafanikiwa kirahisi.
Kwahiyo alitumia nguvu kubwa kwenda aganist na serikali ili kuzikwepa rada zao ikiwemo kutojulikana anakaa wapi, anaendesha Gari gani wapi kawekeza n.k
Anasema hawa polisi waliokuwa wakija kumkamata aligundua hata akipanic akawapiga risasi atakuwa haja solve tatizo kwakuwa in deep down polisi wanakuwa wametumwa na Government kwahiyo the really enemy sio polisi ni government.
Akamalizia kwakusema I don't hate armies or military but all I know most of people joins in military because had no better option in life .
Hivyo hata hao waliovamia kwa Dada yake pole pole yawezekana wao wakawa hata hawana wanachoelewa Ila ni kutiii maelekezo wanayopewa na Kama anavyosema Jay z kuwa most of People joins in military because had no better option in life
Serikali ni watu na katika hao watu wamegawanyika .Sidhani kma serikali wanaweza kukurupuka ivo kwani mnara wa simu si utaonyesha tu kma huyu yuko wapi
Mambo mengine ni ufikiri mdgo tu
Povu rukhsa