Hivi kweli kuna watu wanapona kwa maombi?

Unashupaza shingo wakati comment no 1 kajieleza?
 

Mimi ni mmoja wa watu niliopona. Inawezekana sana tu. Sema siku zinavyozidi kwenda watu wanafake. Pia hata hawa wanaponya kwa njia ya uchawi mkubwa
 

Watu wanapona. Kwa mtu aliezaliwa mbeya basi Hana shaka na kuona majirani walishidikana mahospital na kwawaganga wa kienyeji wakipona.
 

Kupona inawezekana kama tatizo litakuwa limeshikiliwa na mtu Ki uchawi.
Kuna kijana alikuwa mtaani kwetu yeye alizariwa akiwa mremavu. Kuna muda walikuja watu wa mikutano ya injili, nae akapelekwa Na wazazi wake. Wazazi hawakuwa ni watu wa kusali kabisa. Walikuwa ni watu wa kuuza pombe za kienyeji.

Basi alifanyiwa maombi siku ya kwanza.
Siku ya pili
Mpka ya nne. Mabadiliko yakaanza kuonekana. Aliacha kutumia magongo na kiasi akaanza kutembea kwa miguu yake jambo kwa shida.

Basi wale waliomwombea wakatoa sharti moja tu.
Ambalo lilikuwa gumu kidog kutekelezwa.

Wao walikuwa na mkutano wa siku 7 tu.
Wazazi waliambiwa waanze kumpeleka kwenye moja ya kanisa la mitaa ya Jirani. Ambako wanamahusiano furan na hawa waliokuja na mkutano.

Sharti hilo lilikuwa gumu sana Kwa wazazi wa huyu kijana kwani ilikuwa Lazima waokoke kisha wabadili maisha yao. Kitu ambacho kilikuwa kigumu sana kwao.

Basi siku zilivyosonga mtoto akaanza kurudi kwenye ile hali yake.

Kuombewa na kupona kupo. Ila si kwa kiasi hicho ambacho tunaonyeshwa.
Mimi ni mmoja ambaepia niliwahi kuombewa na ikawa miujiza kwangu.
 
hiyo style ipo kwa wakristo tu ya kupona kwa maombi cha ajabu hawaendi muhimbili au bugando au kcmc hospital kwenda kuwaombea wote wapone hawa manabii wa kikatolic wanajificha nyuma ya watu waoongo hujifanya nimepona kwa maombi ili wapige pesa wangapi wanaomba ITV wachangiwe wakatibiwe india mbona hawaendi kwa manabii uchwara serikali kamata manabii peleka muhimbili wakawaombee vilema waliokuwa wamepata ajali ya pikipiki wote watoke wanatembea kwa siku moja au wiki sio mbaya
 
Uwepo wa Mungu yupi unaemuabudu maana miungu iko mingi

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Alitumia maombi tu, Kila kitu kinawezekana kama ututumia nguvu za kiroho kupambana na nguvu za mwilini.
Unachotakiwa kuanacho ni imani, Commitment na Subira
Uongo huo wewe....
 
Alikuwa anaunwa ugonjwa gani?
 
A AJABU KUU NI KWAMBA WANAO WAOMBEA WENZAO HUENDA MAMLAKA ZA TIBA( HOSPITALI) KUPATA MATIBABU LAKINI WAOMBEWAJI HAWASTUKI
 
Mimi nimepona kwa maombi nilipo kuwa nahalisha na kutapika pia shingo ilikuwa inanisumbua nilivo pita kwa Bwana Yesu aliniponya kabisa
Mungu mkubwa tokea 2008 hadi sasa nimekunywa dawa mara 2 nikipo kuwa jkt na mdudu aliingia kwenye mkono nikapewa dawa yakutuliza maumivu cos nilikuwa naingia kwenye paper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…