Hivi kweli Mh Samia uliwasamehe Hawa na kuwaruhusu warudi nchini na ukawafutia kesi? Asante mohamedi umetuonesha rangi Yako.

Hivi kweli Mh Samia uliwasamehe Hawa na kuwaruhusu warudi nchini na ukawafutia kesi? Asante mohamedi umetuonesha rangi Yako.

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Muhindi kumzurumu muhaya ni ngumu sana,
Ili ni funzo mnielewe

Nauliza Mh Raisi Samia watu WALIOKUWA wanauza UNGA nchini akiwemo huyu Mohamed aliyekamatwa na Mzee Magu na kukili kosa na kulipa cash money ya prebegaining dheni akakimbia nchi

Ndo unajitapa uliwarejesha nchini?

Nani hasiye mjua mudi kuwa alikuwa TAPTA?
 
Siku nilipoona tu anakataa matumizi ya neno "watanzania wanyonge" na kuzuia kabisa watumishi wake wasilitumie nikajua tu hapa tumeyakanyaga na huyu anenda kuwa raisi wa majizi na mafisadi na watanzania wa hali ya chini wataishi kwa mateso sana.
 
Ndege wanao fanana huwa wanaruka pamoja. Hii nchi kuja kutoka kwenye mfumo huu ni hadi kije chama mbadara na kufanya reforms. Huo ndiyo ukweli.
NO REFORMS NO ELECTION.
 
Back
Top Bottom