Desidii
JF-Expert Member
- Oct 2, 2007
- 1,201
- 86
Ninakushukuru kwa majibu ya kiungwana. Wengi humu jamvini ukinena kinyume cha wanavyotaka uoni basi jua utaishia kutukanwa au hata nyuzi zako kufungwa eti zimepitwa na wakati kumbe bado. Pole kwa kukukasirisha. Nimefurahishwa na IEBC majibu yao ndani ya Supreme Court hususani pale waliposema Raila has NEVER conceded defeat in presidential elections from 1997, 2007 and now. The impression there is as far Raila is concerned is my way or the HIGHWAY.................now the Supreme court has the opportunity to deal with all issues including those you did not mention.
La pili, public interest versus narrow private interest masquerading as public interest.
The game has only begun. Mengineyo uliyoyaongea kwa vile hujayafafanua sina la kujaziliza! Tatizo ya hayo unayoyaoongea ni kuwa mbona kwenye malalamiko ya Raila mahakamani hajayalalamikia?
Kwa vile ulivyoongea naona uko upande wa Uhuru. Mambo mengine huwezi andika humu usijetafutiwa ushahidi bure........
Nachokwambia nina hakina nacho sababu nimeshuhudia kwa macho yangu si ya kuambiwa na mkwanja nikapewa bila kujua ni wa nini wewe bana wewe siasa za Kenya tuziache tu