Hivi kweli Raila na CORD ni watetezi wa demokrasia au wanatetea matumbo yao?



Kwa vile ulivyoongea naona uko upande wa Uhuru. Mambo mengine huwezi andika humu usijetafutiwa ushahidi bure........

Nachokwambia nina hakina nacho sababu nimeshuhudia kwa macho yangu si ya kuambiwa na mkwanja nikapewa bila kujua ni wa nini wewe bana wewe siasa za Kenya tuziache tu
 
Kama haya unayoyaandika ni kweli then Raila is a roasted beef....................he will never prevail because God has anointed the son of Jomo to be the fourth president of kenya.

Ruta huyo God unayemsema wewe simuelewi elewi vile lol
 
Kwa hiyo kwa akili yako ukipongezwa na Marekani na Uingereza ndo unakuwa halali?

Na Uhuru wanamtaka kwa lipi jema haswa?

Uhalali wa uchaguzi haupatikani kwa kupongezwa na ambao hata haruhusiwi kupigakura............sijui hata kwanini huwa tunawataja kutafuta au kuondoa uhalali wa chaguzi zetu? Marekani kwenye chaguzi zao hawataki wageni wawe na sauti lakini sisi tunatafuta kuwapa wao sauti.........inachekesha na kusikitisha sana!
 
Ruta huyo God unayemsema wewe simuelewi elewi vile lol

Inabidi ukasome Biblia kitabu cha Kumbukumbu ya Torati 8:18; Jeremiah 27:5; Daniel 4:17; 2 Samuel 22:48:-

Kwa kifupi ni chochote ulichonacho uwe ni utajiri au cheo ni Mwenyezi Mungu amekupa na ana sababu zake ambazo siyo lazima kila mtu azijue.
 

Siasa za Kenya hatuziachi ila tunazitumia kujifunza ili tuelewe vyema mustakabali wetu ndiyo wazungu wanasema "to think out of the box."

Raila ananichekesha pale anapodai ya kuwa ifanyike "forensic auditing" hivi ni nani wa kuifanya? Kam ayeye hajaifanya anategemea nani kumfanyia?

Pili wapambe wake wanadai hawawezi kwenda mahakamani kwa sababu wao ni mawaziri wakati uwaziri wao ulikwishapale walipopewa stakabadhi ya IEBC kuwa wameshinda uchaguzi. Kinachowazuia kwenda kule ni khofu ya kushindwa na kuabishwa tu!
 
Then that God must be Crazy!

In the eye of the flesh he is, but in the eye of the ELect like myself He is the awesome God and His name is CHRIST JESUS, the only living God. If you believe this just say AMEN! And save yourself from His wrath that is about to fall on all who pierced Him with their sins!
 
Acha kujificha nyuma ya Imani,! Mungu huwa hana mikataba ya baraka na Waovu. Mkwapuaji ardhi ya maskini, tena maskini wanao ishi ndani ya tents , wakikosa hata hatua kumi za kujenga kibanda cha makuti, wakati Uhuru ana mamia ya maelfu ya ekari za ardhi,? Mungu gani huyu? Sema umimi na umwenzetu ndo unawatafuna wakenya. Si zaidi ya hapo.
 
Kwa hiyo kwa akili yako ukipongezwa na Marekani na Uingereza ndo unakuwa halali?

Na Uhuru wanamtaka kwa lipi jema haswa?

ge my point well, laila anachezewa danadana na yeye hajijui! kama angemsapoti kibaki 2007 leo angekuwa rais, lakin kwa umbulula wake akajifanya much know!
 

kama kila mahali ni wakikuyu kwa ivo?? basi ipitishwe sheria hakuna mkikuyu kugombea uongozi!ikiwa pamoja na urais! sivo
 
Last edited by a moderator:
hata mwovu kapewa na Mwenyezi Mungu ndicho unatakiwa ufahamu.

Soma Mathew 5: 45;-

"You shall then be the sons of the living God. For he let His sun shines to evil and the good, and brings His rain to the just and unjust."

hebu kiri ya kuwa haya nisemayo ni kauli ya Mungu kwa kuandika AMEN! Kuonyesha nawe unaishi kwa khofu ya Mungu!
 
kama kila mahali ni wakikuyu kwa ivo?? basi ipitishwe sheria hakuna mkikuyu kugombea uongozi!ikiwa pamoja na urais! sivo

La ajabu wanawachukia wakikuyu huenda kuwapigia magoti wawapigie kura wao!
 
ge my point well, laila anachezewa danadana na yeye hajijui! kama angemsapoti kibaki 2007 leo angekuwa rais, lakin kwa umbulula wake akajifanya much know!

Spot on! Hata sasa bado hajachelewa anaweza kumpigia simu uhuru na kumwomba msamaha na kufutilia mbali kesi yake Supreme Court na Uhuru atampa ugali maana hana kinyongo na mtu! Lakini Raila alivyomroho wa madaraka hizo busara hana mpaka anasubiria kudhalilishwa na mahakama kwenye jambo ambalo lipo wazi kabisa...........
 

Ampigie simu Uhuru amwombe msamaha kwa kosa gani? Mawazo mengine yanashangaza sana.

Anayehitaji kuomba msamaha ni Kibaki. Awaombe msamaha Wakenya kwa kujilazimisha kuwa kiongozi wao kupitia wizi wa uchaguzi ambao ulisababisha watu wakachinjana.

Raila hajamkosea lolote Uhuru.
 

Kosa la raila ni kusema uongo ya kuwa kashinda wakati kashindwa kwa hilo hana namna ni kumpigia magoti uhuru ampe ugali ale!
 

Iwe usituletee za kuleta hapa!! Peleka andiko lako kwenye jukwaa la dini, kajinywee lubisi yako upoze kichwa yako ulale fofofo :-(
 
Iwe usituletee za kuleta hapa!! Peleka andiko lako kwenye jukwaa la dini, kajinywee lubisi yako upoze kichwa yako ulale fofofo :-(

Tatizo lubisi haipiti kinywani kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…