Hivi kweli simu za HUAWEI bado zinatumia google playstore?

Hivi kweli simu za HUAWEI bado zinatumia google playstore?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Kwa sababu kama mnavyojua jinsi serikali ya Marekani ilivyoweka sheria zake katika makampuni ya china , napenda uliza swali tajwa hapo juu.
 
Kuhusu HUAWEI naamini bila ya shaka siku akiapishwa tu Biden mambo yatabadilika.
 
Huawei wamefurahi sana biden kupita, sasa wanaenda kuteka soko la simu na kujiimarisha zaidi kwenye technologia
 
Kuna nyengine zinatoka na playstore sababu wanatumia motherboard za zamani ambazo walizinunua kabla ya Tamko.

Sema ni chache.
Mkuu nasikia kkoo wanaweza kukuwekea goggle play store ktk hizi simu ni kweli?

Na km ikiwa hivyo kuna hasara ? Au effects zoxote ktk simu?
 
Mkuu nasikia kkoo wanaweza kukuwekea goggle play store ktk hizi simu ni kweli?

Na km ikiwa hivyo kuna hasara ? Au effects zoxote ktk simu?
Mimi ni fundi wa software pale kkoo, leo jumapili hatufungui ofisi, hiyo kazi nafanya
 
na inabakia bila kunisumbua mbeleni!?

nielekeze location nitakuja
 
Mkuu nasikia kkoo wanaweza kukuwekea goggle play store ktk hizi simu ni kweli?

Na km ikiwa hivyo kuna hasara ? Au effects zoxote ktk simu?
Unaweza kuweka hata wewe mwenyewe sema usitegemee experience kuwa smooth, na wanaweza pia kuiblock kwa baadae
 
Back
Top Bottom