anonymousta
Member
- Oct 23, 2019
- 19
- 7
Lkwa sim za redmi inakua ngapInategemea aina ya simu na model, pia na chipset yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkwa sim za redmi inakua ngapInategemea aina ya simu na model, pia na chipset yake
Mkuu naweza pataa Kioo cha Samsung A11Fika mtaa wa Uhuru na Likoma kama unatokea mtaa wa Uhuru unaingia mtaa wa Likoma kushoto kwako Kuna Akiba Bank, jengo linalofuata kuna wanaobet mbele kidogo utaona fremu ina duka la pc na vifaa vya pc ukiangalia mbele mkono wa kulia utaona Posta bank simama hapo kisha ulizia kwa BM
Tunashughulikia matatizo yote ya simu mpaka matengenezo ya iPhone