Hivi kweli simu za HUAWEI bado zinatumia google playstore?

Kwa upande wa kupata playstore inawezekana ukapata ilo halina shida maana unaweza tumia googleinstaller v30
 
Unaweza kuweka hata wewe mwenyewe sema usitegemee experience kuwa smooth, na wanaweza pia kuiblock kwa baadae
Hawawezi, binafsi natumia china version na huwa naziweka playstore na hakuna iliyowahi kua blocked maana huwa naziuza na hakuna mteja aliyewahi kuja nilalamikia
 
Mkuu issue ya Huawei ni tofauti na simu nyengine za kichina.

Simu nyengine hazijakuwa blocked na usa bali nchi zao hivyo google hana sababu ya kuwablock wakiwa na access ya playstore.

Huawei wamekuwa blocked na usa hivyo google anayo sababu ya kuwablock

Unaweza pitia hapo kulikuwa backdoor ya mate 30 ku access playstore google wakaiziba.

Hivyo kwenye huawei ipo possibility hio
 
Mzee una root simu?
Simu ninaroot inapotokea kuna operation natakiwa kuifanya,mfano kutoa network lock za mitandao ya nje mfano AT & T au T-Mobile au Orange simu lazima iwe rooted kisha ndo ufanye hizo operation kwa Z3X, Octoplus au Chimera Tool
Sijajua wewe unapoulizia kuroot unaroot kwa ajili ya nini au kwa sababu gani? Maana mimi ni Fundi Simu upande wa Software
 
Huwa ni shi ngapi?
 
Nakusudia unatoa huduma ya rooting
 
Bado cjapapata fresh.. Nielekeze vzr
Fika mtaa wa Uhuru na Likoma kama unatokea mtaa wa Uhuru unaingia mtaa wa Likoma kushoto kwako Kuna Akiba Bank, jengo linalofuata kuna wanaobet mbele kidogo utaona fremu ina duka la pc na vifaa vya pc ukiangalia mbele mkono wa kulia utaona Posta bank simama hapo kisha ulizia kwa BM

Tunashughulikia matatizo yote ya simu mpaka matengenezo ya iPhone
 
Back
Top Bottom