The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Wewe Gen Ziro ama GenZ?View attachment 3323020
Kenya inasifika kwa kupinga unyanyasaji. Walianza Mau Mau waliokinukisha hadi Kenya ikawa huru.
Baada ya hapo, waltokea Young Turks waliompa taabu imla Daniel arap Moi hadi walipomfurusha mwaka 2002.
Baada ya hapo,, juzi juzi walitokea Gen Z wakakinukisha hadi kulazimisha majambazi yao ya kisiasa kufunga ndoa ya mkeka (shotgun marriage).
Ukiondoa akina mzee Nyerere na wenzake, Tanzania haijawahi kuwa mapambano ya haki. Je tuna tatizo gani hadi tunaitwa machawa na kukubali? Je Gen Z wetu kwanini hwajifunzi kwa kwenzao wa Kenya?
Kwani hao Gen Z wamefaidika nini baada ya yale maandamano? Sanasa kuna vijana 400 walikufa. Na kisiasa ilimfaidisha Raila Odinga kwa kuingiza watu wake kwenye Serikali. Finance bill bado inawatafuna kwa kutotekeleza miradi ambayo ilipangwa.View attachment 3323020
Kenya inasifika kwa kupinga unyanyasaji. Walianza Mau Mau waliokinukisha hadi Kenya ikawa huru.
Baada ya hapo, waltokea Young Turks waliompa taabu imla Daniel arap Moi hadi walipomfurusha mwaka 2002.
Baada ya hapo,, juzi juzi walitokea Gen Z wakakinukisha hadi kulazimisha majambazi yao ya kisiasa kufunga ndoa ya mkeka (shotgun marriage).
Ukiondoa akina mzee Nyerere na wenzake, Tanzania haijawahi kuwa mapambano ya haki. Je tuna tatizo gani hadi tunaitwa machawa na kukubali? Je Gen Z wetu kwanini hwajifunzi kwa kwenzao wa Kenya?
Wewe ni nani?View attachment 3323020

Kawafate sinza na tabata ndo wamejazana huko wakigawana uti sugu.....unataka Gen Z bongoView attachment 3323020
Kenya inasifika kwa kupinga unyanyasaji. Walianza Mau Mau waliokinukisha hadi Kenya ikawa huru.
Baada ya hapo, waltokea Young Turks waliompa taabu imla Daniel arap Moi hadi walipomfurusha mwaka 2002.
Baada ya hapo,, juzi juzi walitokea Gen Z wakakinukisha hadi kulazimisha majambazi yao ya kisiasa kufunga ndoa ya mkeka (shotgun marriage).
Ukiondoa akina mzee Nyerere na wenzake, Tanzania haijawahi kuwa mapambano ya haki. Je tuna tatizo gani hadi tunaitwa machawa na kukubali? Je Gen Z wetu kwanini hwajifunzi kwa kwenzao wa Kenya?
Mimi ni Father of All mwanangu siyo Gen Z tena bali baba na babuWewe ni nani?
Watawala wanapenda tuwe na akili kama zako,tofautisha utulivu na upumbavu,Amani na ujingaKwani hao Gen Z wamefaidika nini baada ya yale maandamano? Sanasa kuna vijana 400 walikufa. Na kisiasa ilimfaidisha Raila Odinga kwa kuingiza watu wake kwenye Serikali. Finance bill bado inawatafuna kwa kutotekeleza miradi ambayo ilipangwa.
Mnaitamani Kenya na kutaka Tanzania iwe nchi ya misukosuko lakini mnasahau kuwa wana changamoto zao nyingi kama ukabila, grand corruption, kutokuwa na ardhi watu walio wengi etc
Unatamani sana vurugu eh?View attachment 3323020