Hivi kweli Tanzania tuna Gen Z au Gen Ziro?

Serikali inayotumikia watu inaanzaje Sasa kuwanyonya?
Inaanza kwa kuwatumia badala ya kuwatumikia, kuwadanganya badala ya kuwaambia ukweli, kuwadhalilisha badala ya kuwaheshimu, kuwaibia badala ya kuwa muangalizi wa fedha na mali zao, kuwaita machawa badala ya wananchi, kuwaburuza badala ya kuwashawishi, kuwatesa badala ya kuwadekeza, kuwatenga badala ya kuwaunganisha. Ni mengi bila mwisho.
 
Ndio haifanyi hivyo ndio maana ukiambiwa weka ushahidi huna utaanza kutukana.

Hujiulizi inakuaje Trump amteue Mtoto wake Ivanka kuwa Msemaji wake au mshaurini wa Rais?

Bado unaamini Duniani Kuna Haki na usawa? Eti unaitafuta 😁😁
 
Hueleweki. Umeandika matope na urongo mwanangu
 
Maandamano ya Tanzania mkitaka yafanikiwe yaitishwe kwa pamoja nchi nzima na yasiitishwe na chadema yaitishwe na umma yaani yawe kila kata kwa muda mmoja kila siku angalau kwa wiki nzima

Lakini ya kutumia vyama tutakwama sana
Nani atakayeyatangaza kwa mfano
 
​

View attachment 3323020​

​

Kenya inasifika kwa kupinga unyanyasaji. Walianza Mau Mau waliokinukisha hadi Kenya ikawa huru.
Baada ya hapo, waltokea Young Turks waliompa taabu imla Daniel arap Moi hadi walipomfurusha mwaka 2002.
Baada ya hapo,, juzi juzi walitokea Gen Z wakakinukisha hadi kulazimisha majambazi yao ya kisiasa kufunga ndoa ya mkeka (shotgun marriage).
Ukiondoa akina mzee Nyerere na wenzake, Tanzania haijawahi kuwa mapambano ya haki. Je tuna tatizo gani hadi tunaitwa machawa na kukubali? Je Gen Z wetu kwanini hwajifunzi kwa kwenzao wa Kenya?
Kila mtu ni kichaa, ukitaka kujua ukichaa wa mtu subiri akikasirika sana 'turmoil'
 
Maandamano ya Tanzania mkitaka yafanikiwe yaitishwe kwa pamoja nchi nzima na yasiitishwe na chadema yaitishwe na umma yaani yawe kila kata kwa muda mmoja kila siku angalau kwa wiki nzima

Lakini ya kutumia vyama tutakwama sana

maandamano yanatakiwa yawe sehemu tofauti tofauti polisi washindwe kuzuia
ngoja panya road waazishe usiku, mchana tudai haki
 
Sisi vita yetu imapigwa na kamdogo,kamdomo huwa kanatumika hata ukiziba masikio tunaendelea kusema mpka usikie
 
​

View attachment 3323020​

​

Kenya inasifika kwa kupinga unyanyasaji. Walianza Mau Mau waliokinukisha hadi Kenya ikawa huru.
Baada ya hapo, waltokea Young Turks waliompa taabu imla Daniel arap Moi hadi walipomfurusha mwaka 2002.
Baada ya hapo,, juzi juzi walitokea Gen Z wakakinukisha hadi kulazimisha majambazi yao ya kisiasa kufunga ndoa ya mkeka (shotgun marriage).
Ukiondoa akina mzee Nyerere na wenzake, Tanzania haijawahi kuwa mapambano ya haki. Je tuna tatizo gani hadi tunaitwa machawa na kukubali? Je Gen Z wetu kwanini hwajifunzi kwa kwenzao wa Kenya?

Hivi Mombasa ipo Kenya kweli🤣🤣🤣🤣🤣
Mombasa na Dar salaam hazitofautiani sana .

Tofauti ya Mombasa na DSM ni kwamba DSM kuna Ofisi za TEC ambazo zinawasumbua Watawala waliofuata utawala wa haki.

Mtu kama Shehe Mwaipopo kwa vyovyote angeishi Mombasa .

Gen Z wapo Nairobi sio Mombasa .
Wale wa Mombasa wanataka amani tuu hawana habari na haki na utawala bora .Hawana habari na katiba bora inayowawajibisha watawala na kuheshimu wananchi wote bila kujali chama wala itikadi za vyama au dini.

Gen Ziro wapo DSM na Mombasa pia wapo .

Nairobi ,Nakuru , Arusha,Mwanza , Mbeya na Musoma wapo Gen Z.
Tofauti yao ni muda .
 
Back
Top Bottom