Hivi kweli Tanzania tuna Gen Z au Gen Ziro?

Hao Gen Z wa Kenya unajua baadhi yao wamekimbilia Tanzania? Huko kwao wanawindwa kama Mhaya anakamata senene! Mpaka sasa Gen Z 60 hawajulikani walipo bila kutaja waliopo korokoroni.

Naamini leo ukiwaambia wafanye walichofanya kipindi kile watakushambulia!
 
Watawala wanapenda tuwe na akili kama zako,tofautisha utulivu na upumbavu,Amani na ujinga
Mwanangu umenionea na kunikosea adabu. Kweli wewe ni wa kuniambia nina akili mbaya wakati wewe ndo unaonesha kuwa chawa na kunguni! Basi niombe msamaha, nitakusamehe bure.
 
Kenya ukiwafanyia wenzake umafia na wewe utafanyiwa umafia
Rejea kifo cha mbunge Charles ongondo.....kala shaba juzi hapa
Na wakenya hata hawamuonei huruma inaelekea alikuwa mshnz
Naye alikuwa na tabia za kuwanyamazisha critics
Wakenya wanasema muosha uwoshwaa

Ova
 
Kwanza nikurekebishe. Hawaja poteza vijana 400, report za serikali ni 42.
Maandamano hayo yali force serikali isitoshe uamuzi wake wa kuongeza kodi ambayo ilikuwa inaenda kufanya maisha yao kuwa magumu zaidi.
Ili force rais abadili cabinet

So yes walifanikiwa kw 70%. So hilo unalosema ww ni siasa za hovyo. Vijana wa kenya ni wa mfano
 
Wangapi wamekimbilia vs waliobaki?

Waliokimbilia huku ni nyakati maandamano yamepamba moto, ila walirudi baada ya hali kutulia.
 
Alikuwa mshenzi sana yule mbunge.

Juzi chuma ya police Kenya ilikuwa imekula mzinga.

Maaskari wengine wamekufa wengine wanaomba msaada

Wananchi waliofika eneo la tukio hawakujisumbua kutoa msaada sauti zinasikika acha wakufe huku wakichukua video
 
Hivi Moi 2002 alifurushwa na Gen Z??
 
Acha kutisha wengine kana kwamba utaishi milele. Yuko wapi jiwe aliyemclone huyo habiiiithiii wenu?
 
Tanzania hakuna unyanasaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…