Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubwa, ohoooo
Unakuwa umeshapimwa saizi ya sehemu za kati kitamboooooo
Kikiletwa kisos ni kuenea tu, hakuna cha kumwagika wala kuvuja
Unajifanya kushangaa nini sasa???
Au unataka kusema unajivua gamba???
Wewe ndio unanipa haya mambo mpaka nimeuza hadi jina langu
he he he he Kloro naomba ujibu.....CPU habari yako binafsi jamani? siku nyingi? me miss you!
Lizzy hajambo?
Unanishtua CPU? Una mpango hani?Haziruhusiwi siku takatifu
Siku kama ya leo unatakiwa uwe kama JOKA LA KIBISA hata kama ikitokea nimemchukua Michelle
Pole kwa seminar my loveOooh my lovely one
Mi mzima, japo kwa sasa nipo dozini (suffering from Maralia)
But before that nimekuwa nikipigwa safari za ku-attend seminars mpaka naanza kuboreka. Juzi ndo nimetoka last seminar.
Miss you mire than u think.
Lizzy mmmmmmmh
Hata sina la kusema
mmhh bwana
mie nimechoka kukuna hayo manazi
we waenda GYM sana sasa hiyo misuli mmhhhh
nazi mia yachukua masaa 6 ku kwangua dahhh
sasa na tafuta uti wa mgongo mpya mmhhhh
mie sitaki mambo ya nazi tena
kama uko tayari kujaribu recipe yangu mmpya
karibu chumbani mmmhh
Yapo wapi mapenzi........Akudo Impact
My sweet love, we hujui tu
Hii misuli yooote pamoja na ukubwa wake ina lainika kwa nazi moja tu
Ukiongezea ya pili ndo nakukabidhi ukoo wetu mzima
Hebu tujaribu hiyo recipe mpya tuone . . .
Unanishtua CPU? Una mpango hani?
Pole kwa seminar my love
mi mwenyewe nimepata dose ya malaria juzi
Good to have you back
Hayo ya Lizzy tuyaache hadi pasaka iishe
hahaha Komrade utabiri ulikuae[po toka zamani, mi nimetabiri hivyo we utaona mwenyewe!Mkuu, enzi hizo hakukuwa na Sheikh Yahya
Nikisema hizi taarifa ni za uwongo nitakosea??? (jokin)
walikuwepo na bado wapo.Hapa JF yupo mmoja, for sekyuriti reason hatotajwa.
Zamani wanawake wengi walikuwa wanakaa home tu, kazi ni moja kutafuta nazi na karanga ulisahau mikoa mingine hakuna nazi, baasi hapo shughuli ni moja tu. sasa hivi kila mtu akirudi home anakoromea upande wake ndio tatizo kakanguTunaambiwa tu kwenye lecturers eti bado yapo, wengine ndo wanatuzuga na propaganda zao eti "yana hati za dharura" kama likatiba walilotaka kutuletea.
Siku hizi mapenzi eti ni kile kidude kimezwe na kimezeo