Hivi kweli walikuwepo . . . ??

Hivi kweli walikuwepo . . . ??

Good Friday to you all, hapa mnazungumzia nini? Mimi hapana elewa, namajonzi mfalme wetu atasulubiwa saa tisa.....!
 
tobaaa! hehehe kwa utamu huu leo acha nikomenti huku nimevaa boxer tu. nikuwashie web cam uone ?

Haziruhusiwi siku takatifu
Siku kama ya leo unatakiwa uwe kama JOKA LA KIBISA hata kama ikitokea nimemchukua Michelle
 
Ohh,basi yote kheri.manake mie kwetu nilipewa kibebeo tofauti.mzee akiniona nimetaja hapa ataona wivu,nsijepigwa ban ya kuingia humu.
Mkubwa, ohoooo
Unakuwa umeshapimwa saizi ya sehemu za kati kitamboooooo
Kikiletwa kisos ni kuenea tu, hakuna cha kumwagika wala kuvuja
 
Unajifanya kushangaa nini sasa???
Au unataka kusema unajivua gamba???
Wewe ndio unanipa haya mambo mpaka nimeuza hadi jina langu

mmhh bwana
mie nimechoka kukuna hayo manazi
we waenda GYM sana sasa hiyo misuli mmhhhh
nazi mia yachukua masaa 6 ku kwangua dahhh
sasa na tafuta uti wa mgongo mpya mmhhhh

mie sitaki mambo ya nazi tena
kama uko tayari kujaribu recipe yangu mmpya
karibu chumbani mmmhh
 
he he he he Kloro naomba ujibu.....CPU habari yako binafsi jamani? siku nyingi? me miss you!

Lizzy hajambo?

Oooh my lovely one
Mi mzima, japo kwa sasa nipo dozini (suffering from Maralia)
But before that nimekuwa nikipigwa safari za ku-attend seminars mpaka naanza kuboreka. Juzi ndo nimetoka last seminar.
Miss you mire than u think.
Lizzy mmmmmmmh
Hata sina la kusema
 
Good Friday to you all, hapa mnazungumzia nini? Mimi hapana elewa, namajonzi mfalme wetu atasulubiwa saa tisa.....!

Mkuu, enzi hizo hakukuwa na Sheikh Yahya
Nikisema hizi taarifa ni za uwongo nitakosea??? (jokin)
 
Yapo wapi mapenzi........Akudo Impact
 
Ohh,basi yote kheri.manake mie kwetu nilipewa kibebeo tofauti.mzee akiniona nimetaja hapa ataona wivu,nsijepigwa ban ya kuingia humu.

Hebu niPM basi unionyeshe hicho kibebeo unipime kama kitaenea kwangu . . . .lol
 
Haziruhusiwi siku takatifu
Siku kama ya leo unatakiwa uwe kama JOKA LA KIBISA hata kama ikitokea nimemchukua Michelle
Unanishtua CPU? Una mpango hani?

Oooh my lovely one
Mi mzima, japo kwa sasa nipo dozini (suffering from Maralia)
But before that nimekuwa nikipigwa safari za ku-attend seminars mpaka naanza kuboreka. Juzi ndo nimetoka last seminar.
Miss you mire than u think.
Lizzy mmmmmmmh
Hata sina la kusema
Pole kwa seminar my love
mi mwenyewe nimepata dose ya malaria juzi
Good to have you back
Hayo ya Lizzy tuyaache hadi pasaka iishe
 
mmhh bwana
mie nimechoka kukuna hayo manazi
we waenda GYM sana sasa hiyo misuli mmhhhh
nazi mia yachukua masaa 6 ku kwangua dahhh
sasa na tafuta uti wa mgongo mpya mmhhhh

mie sitaki mambo ya nazi tena
kama uko tayari kujaribu recipe yangu mmpya
karibu chumbani mmmhh

My sweet love, we hujui tu
Hii misuli yooote pamoja na ukubwa wake ina lainika kwa nazi moja tu
Ukiongezea ya pili ndo nakukabidhi ukoo wetu mzima
Hebu tujaribu hiyo recipe mpya tuone . . .
 
Yapo wapi mapenzi........Akudo Impact

Tunaambiwa tu kwenye lecturers eti bado yapo, wengine ndo wanatuzuga na propaganda zao eti "yana hati za dharura" kama likatiba walilotaka kutuletea.
Siku hizi mapenzi eti ni kile kidude kimezwe na kimezeo
 
My sweet love, we hujui tu
Hii misuli yooote pamoja na ukubwa wake ina lainika kwa nazi moja tu
Ukiongezea ya pili ndo nakukabidhi ukoo wetu mzima
Hebu tujaribu hiyo recipe mpya tuone . . .

hhahahah lol
haya nakusubiri leo jioni
ukitoka kazini mmhhh
hiyo harufu ilivyo taaammm daaahhhh
angalia usikanyage watoto wa jirani kwenye drive way hahahha lol
 
Unanishtua CPU? Una mpango hani?

Pole kwa seminar my love
mi mwenyewe nimepata dose ya malaria juzi
Good to have you back
Hayo ya Lizzy tuyaache hadi pasaka iishe

Lizzy ni memba nguli wa UngaLtd, anatuwakilisha vilivyo kwa sasa huko alipo. Bila shaka kipindi kama hiki ndio anawajibika kisawasawa.
Kwanza achana na hilo sharobaro la kihindi Kloro, njoo huku uone mambo . . . .
 
Mkuu, enzi hizo hakukuwa na Sheikh Yahya
Nikisema hizi taarifa ni za uwongo nitakosea??? (jokin)
hahaha Komrade utabiri ulikuae[po toka zamani, mi nimetabiri hivyo we utaona mwenyewe!
 
Tunaambiwa tu kwenye lecturers eti bado yapo, wengine ndo wanatuzuga na propaganda zao eti "yana hati za dharura" kama likatiba walilotaka kutuletea.
Siku hizi mapenzi eti ni kile kidude kimezwe na kimezeo
Zamani wanawake wengi walikuwa wanakaa home tu, kazi ni moja kutafuta nazi na karanga ulisahau mikoa mingine hakuna nazi, baasi hapo shughuli ni moja tu. sasa hivi kila mtu akirudi home anakoromea upande wake ndio tatizo kakangu
 
Back
Top Bottom