Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wale jamaa wana kila mbinu za kuhakikisha kombe linabakia kwenye ardhi yao, week ikiyopita nikiandika hapa mkanibeza.
Yale mafataki yalikuwa yanapigwa kwa vipindi maalumu siyo kama sisi tunavyoyapigaga hapa kiholela.
Ratiba ya mafataki ilikuwa kama ifiatavyo;
1. Hotelini walipofikia Yanga.
2. Wakati timu zinaingia uwanjani tayari kabisa kuanza mchezo.
3. Dakika ya 40 ya mchezo.
4. Dakika ya 85 ya mchezo
Wale jamaa walijipanga ndani na nje uwanja, nyie mnalalama oooohhh tunaenda CAF, nendeni mkapewe kombe la kumfunga muarabu kwake 😂😂😂😂