ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wana ubabe gani? Kila mwaka kule South Bingwa ni Masandawana,huko DRC ni tp Mazembe,hao wengine ni kma kina AzamOrlando na vita siyo wababe kwenye ligi zao? 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana ubabe gani? Kila mwaka kule South Bingwa ni Masandawana,huko DRC ni tp Mazembe,hao wengine ni kma kina AzamOrlando na vita siyo wababe kwenye ligi zao? 🤣🤣
Nchi hii kuna abundance ya muda. Vijana wana muda wa kutosha hadi unamwagikia.
😅😅😂😂Pyeeeee pyeeeeee pyeeeeee paaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa, huku mashabiki ukifanya hivyo mbna utashangaa una kipigo kutoka kwa mlinzi wa SUMMAWenzao wakati wanafundisha mashabiki wao kupiga Mafataki sie huku kikosi cha kutuliza ghasia kilikuwa kinafundishwa kuwashughulikia mashabiki wao kwa maji ya washawasha kabla ya mechi!
Tulikubaliana hakuna kufa kiume