Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hongeren kwa kutwaa kombe la kumfunga muarabu. Yanga bingwa.
Kwa nini wasichukue? Bahati haikuwa Yao Toka Wakiwa Dar ila next time wajifunze kutengenezea Timu ambayo haitakuwa inamtegemea mtu mmja pekee..Wale jamaa wana kila mbinu za kuhakikisha kombe linabakia kwenye ardhi yao, week ikiyopita nikiandika hapa mkanibeza.
Yake mafataki yalikuwa yanapigwa kwa vipindi maalumu siyo kama sisi tunavyoyapigaga hapa kiholela.
Ratiba ya mafataki ilikuwa kama ifiatavyo.
Hotelin walipofikia yanga
Wakati timu zinaingia uwanjani tayari kabisa kuanza mchezo
Dakika ya 40 ya mchezo
Dakika ya 85 ya mchezo
Wale jamaa walijipanga ndani na nje uwanja, nyie mnalalama oooohhh tunaenda caf, nendeni mkapewe kombe la kumfunga muarabu kwake ππππ
View attachment 2645341
Bahati huwa haiji mara mbili, kama tena basi itachikua muda sana, ngozi nyeusi ukiingia final na hawa waarabu umeisha.Kwa nini wasichukue? Bahati haikuwa Yao Toka Wakiwa Dar ila next time wajifunze kutengenezea Timu ambayo haitakuwa inamtegemea mtu mmja pekee..
Aziz Ki hamna kitu,Morrison Amechoka,watafute viungo wa pembeni kama Orebonye Ili Timu iwe na Makali zaidi kiasi Akibanwa Mayele wengine wafunge.
Hapana Kwa sababu saizi Wana hela wata retainBahati huwa haiji mara mbili, kama tena basi itachikua muda sana, ngozi nyeusi ukiingia final na hawa waarabu umeisha.
As vita, walitisha sana kipindi kile, Orlando pirate mwaja jana now wako wapi hao wote?Hapana Kwa sababu saizi Wana hela wata retain
Wenzao wakati wanafundisha mashabiki wao kupiga Mafataki sie huku kikosi cha kutuliza ghasia kilikuwa kinafundishwa kuwashughulikia mashabiki wao kwa maji ya washawasha kabla ya mechi!Kwa vile hawana akili waliamini watachukua kombe
Wanatoa wapi hizo hela? Singida au?Hapana Kwa sababu saizi Wana hela wata retain
CafWanatoa wapi hizo hela? Singida au?
Hizo Timu zote umezitaj Huwa sio washindani kwenye Ligi zao za ndani Huwa wanabahatisha tuu ila Yanga na Simba ndio wababe wa Tanzania ni lazima wawepo CAFAs vita, walitisha sana kipindi kile, Orlando pirate mwaja jana now wako wapi hao wote?
Orlando na vita siyo wababe kwenye ligi zao? π€£π€£Hizo Timu zote umezitaj Huwa sio washindani kwenye Ligi zao za ndani Huwa wanabahatisha tuu ila Yanga na Simba ndio wababe wa Tanzania ni lazima wawepo CAF
Yani mkaenda na stationery kufanya typing kwa ajili ya kuwadhihaki Simba?