Wenzao wakati wanafundisha mashabiki wao kupiga Mafataki sie huku kikosi cha kutuliza ghasia kilikuwa kinafundishwa kuwashughulikia mashabiki wao kwa maji ya washawasha kabla ya mechi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa, huku mashabiki ukifanya hivyo mbna utashangaa una kipigo kutoka kwa mlinzi wa SUMMA