Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Morng guys how are you, I hope your fine?
Leo morning nimekutana na tukio moja hilo lilinishangaza sana
Nimetoka zangu home naenda mahangaikoni nikiwa njiani nawakuta watoto wawili mmoja mdogo mmoja mkubwa, mkubwa alikuwa namvuta huyu mdogo uku ana mpiga makofi huku anasema twende shule huko huku namvuta huyu mdogo analia sana niache na yupo kifua wazi kiufupi hakuvaa proper uniform.
Ikabidi niwaite wale watoto ikabidi nitumie taaluma yangu maana nimeona watu wanapita wana shangaa wanasepa zao ujue watu wa dar mda mwingine wanakosea wanaweza kuona tukio wakawa wanaliangalia mpaka mwisho uku wanacheka as a social welfare officer nikaaza kuwahoji
Mimi: Kwanini una mvuta mwezio na akiwa yupo kifua wazi?
Mkubwa : Ataki kwenda shule nimeambiwa nimpeleke
Mimi: Nani kakuambia umepeleka shule kwa hali hiyo?
Mkubwa : Mama yake huyu kila siku ataki kwenda shule
Mimi: Sawa kwahio ndio unampeleka kwa hali hiyo na uku unampiga mwezio uhoni unakosea?
Mkubwa: (hakujibu)
Mimi: mama yake yupo wapi? Na anaka wapi?
Mkubwa: hapo mbele
Mimi : naomba twende ay muachie huyo twende wote
Hapakuwa mbali sana tulifika pale nikawakuta familia kwa ujumla ili kuwa kubwa kulikuwepo vijana wakubwa na wadada wakubwa wanafanya husafi tulisalimiana na kuaza kuzungumza.
Mimi: Wewe ndio mzazi wa huyu mtoto?
Mzazi: Ndio mimi mtoto wangu kwani vipi?
Mimi: Nataka kujua kwasababu nimekuta huyu mtoto anabuluzwa huku anapigwa na huyu mkubwa kisa nini?
Mzazi: Sikia kaka huyu mtoto ataki shule nimemuamsha mapema sana nimemwambia aoge ataki mwezake kapita hapa nikamwambia aondoke nae
Mimi: Sasa baada ya wewe kujua kuwa mwanao ataki shule umechukua jukumu gani? Ushawai mpeleka kwa mwalimu wake wa darasa mukaongea nae?
Mzazi: Hapana
Mimi: Hasa mpeleke kwaza mwanao shule wewe mwenyewe wewe ndio unajua changamoto za mwanao na ni vyema ukampeleka mwenyewe kuliko njia ulio tumia sio sawa, na wakati mwingine kama unajiona uko bise kwanini usinge watuma hawa vijana waende nao kuliko kumpa mtoto mwezie ampeleke.
Mzazi: Sawa kaka nimekuelewa nitampeleka
Mimi: Basi naomba mpe mtoto nafasi ajiandae vizuri uende nae shule mpeleke mwenyewe na uzungumze na walimu vizuri
Mimi: (nikaaza kuongea na muhusika) kwanini utaki kwenda shule?
Muhusika: sijakataa kwenda shule hila mimi nilikuwa najiandaa mama ndio akanifukuza nilikuwa sijamaliza
Mimi: Huwa unajiandaa saa ngapi na kuamka saa ngapi?
Muhusika: Saa kumi na mbili ndio na amka kwasababu shule sio mbali ni hapo tu
Mimi: Sasa nakuomba jiandae tena vizuri uingozane na mama then jitahidi kufwata wazazi wanachosema
Muhusika: Sawa
Mzazi: Asante kaka nashukuru
Mimi: Poa usijali tunaelekezana tu
Sasa kilicho niuzunisha mzazi kutotambua majukumu yake mimi nakumbuka siku mmoja niligoma kwenda shule na walikuwa wamekata tiketi mama kanibembeleza sitaki akaja baba kofi moja niliamka na kwenda kuchukua mizigo mama alinipangia na sikupewa pocket money na nusu bus liniache ilikuwa saa kumi na mbili nilipewa adhabu ya kulikimbiza bus.