Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Anaongea kinachomfurahisha samia.. Kwake utegemezi wa nje umeisha anaweza kuiba madafu haya haya akawa bilioneaJuzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia imebadilika.
Hapa, kuna mambo ya kufikirisha na kudurusu.
Mosi, je, amelijua hili leo au ni baada ya kupigwa pini tokana na mauaji ya Oktoba 29?
Je, haya yanatoka moyoni au ni rongorongo mdomoni kumpendeza mama chawa?
Je, kama asemayo ni kweli, mbona haelezi mikakati ya kujitegemea?
Je, Tanzania ina utamaduni wa kujitegemea au utegemezi?
Je, kati ya hawa vitegemezi waibao kodi zetu na kuzifuja na wanaowapa misaada nani kapitwa na wakati?
Je, kwa utawala wa hovyo wa sasa, ataweza kusimamia maneno yake au kuramba matapishi yake kama aliyebweka 'who are you' utadhani hawajui hao aliobwekea?
Je, watanzania ni mataahira hadi kuamini upupu utokanao na uchawa na ukosefu wa busara?
Je, kati ya watawala na wananchi nani anaishi kwa kutegemea misaada?
Kweli yajayo yanafurahisha.
Eti na Lameki ni daktari! Mmmejua kututenda jamani.
Waziri mkubwa yupo sahihi kwa%,Juzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia imebadilika.
Hapa, kuna mambo ya kufikirisha na kudurusu.
Mosi, je, amelijua hili leo au ni baada ya kupigwa pini tokana na mauaji ya Oktoba 29?
Je, haya yanatoka moyoni au ni rongorongo mdomoni kumpendeza mama chawa?
Je, kama asemayo ni kweli, mbona haelezi mikakati ya kujitegemea?
Je, Tanzania ina utamaduni wa kujitegemea au utegemezi?
Je, kati ya hawa vitegemezi waibao kodi zetu na kuzifuja na wanaowapa misaada nani kapitwa na wakati?
Je, kwa utawala wa hovyo wa sasa, ataweza kusimamia maneno yake au kuramba matapishi yake kama aliyebweka 'who are you' utadhani hawajui hao aliobwekea?
Je, watanzania ni mataahira hadi kuamini upupu utokanao na uchawa na ukosefu wa busara?
Je, kati ya watawala na wananchi nani anaishi kwa kutegemea misaada?
Kweli yajayo yanafurahisha.
Eti na Lameki ni daktari! Mmmejua kututenda jamani.
😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳Waziri mkubwa yupo sahihi kwa%,
kwasababu msingi wa taifa letu tangu uhuru, umejengwa katika mfumo wa kujujitegemea kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Hivyo basi,
kama taifa, hatuna sababu hata moja kubabaika na msaada wa taifa lolote lile duniani, ambao ni hiyari yao autoe au asiutoe.
Tunao uwezo wa kufanya kazi, kujitegemea na kuendesha nchi yetu bila msaada wa yeyote gentleman
Sahihi wakati ni muongo na mvivu wa kufikiri?Waziri mkubwa yupo sahihi kwa%,
kwasababu msingi wa taifa letu tangu uhuru, umejengwa katika mfumo wa kujujitegemea kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Hivyo basi,
kama taifa, hatuna sababu hata moja kubabaika na msaada wa taifa lolote lile duniani, ambao ni hiyari yao autoe au asiutoe.
Tunao uwezo wa kufanya kazi, kujitegemea na kuendesha nchi yetu bila msaada wa yeyote gentleman
Hakuna uchaguzi uliofanyika unaompa huyo juha mamlaka ya kuwa waziri mkuu, kilichotokea October 29 dunia nzima inajuaWATANGANYIKA TUMEPATA WAZIRI MKUU MPUMBAVU MNO , ZAIDI YA KILAZA.
IRP Jk Nyerere.
IRP. Sokoine.
tuliza mihemko na fikra potofu na itapendeza zaidi 🐒Sahihi wakati ni muongo na mvivu wa kufikiri?
Kwa ufupi,aliyoyabwabwaja Madelu hayana utofauti kabisa na aliyobwabwaja dada yake kwa kuwaita wahisani "Hur ari yoo/Who are you"?Juzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia imebadilika.
Hapa, kuna mambo ya kufikirisha na kudurusu.
Mosi, je, amelijua hili leo au ni baada ya kupigwa pini tokana na mauaji ya Oktoba 29?
Je, haya yanatoka moyoni au ni rongorongo mdomoni kumpendeza mama chawa?
Je, kama asemayo ni kweli, mbona haelezi mikakati ya kujitegemea?
Je, Tanzania ina utamaduni wa kujitegemea au utegemezi?
Je, kati ya hawa vitegemezi waibao kodi zetu na kuzifuja na wanaowapa misaada nani kapitwa na wakati?
Je, kwa utawala wa hovyo wa sasa, ataweza kusimamia maneno yake au kuramba matapishi yake kama aliyebweka 'who are you' utadhani hawajui hao aliobwekea?
Je, watanzania ni mataahira hadi kuamini upupu utokanao na uchawa na ukosefu wa busara?
Je, kati ya watawala na wananchi nani anaishi kwa kutegemea misaada?
Kweli yajayo yanafurahisha.
Eti na Lameki ni daktari! Mmmejua kututenda jamani.
Huyo si dada yake bali muungu wake anayemhifadhi. Anaweza hata kuramba makalio yake ili aishiKwa ufupi,aliyoyabwabwaja Madelu hayana utofauti kabisa na aliyobwabwaja dada yake kwa kuwaita wahisani "Hur ari yoo/Who are you"?
Ni kweli. Kwa funza,kunguni na machawa nilichoandika ni mihemko. Kwa waramba makalio na wanuka mafi, haya ni machukizo. Nawe cha kujikomba na kujidhalilisha na kudhalilishwa.tuliza mihemko na fikra potofu na itapendeza zaidi 🐒
I can't agree with you moreSahihi wakati ni muongo na mvivu wa kufikiri?
hiyo dhana potofu haina maana wala athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumi zaidi ya kuexpose empty head yako gentleman 🐒Ni kweli. Kwa funza,kunguni na machawa nilichoandika ni mihemko. Kwa waramba makalio na wanuka mafi, haya ni machukizo. Nawe cha kujikomba na kujidhalilisha na kudhalilishwa.
Nyie Chadomo ndio endeleeni kutegemea Beberu ,Nchi imekataaJuzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia imebadilika.
Hapa, kuna mambo ya kufikirisha na kudurusu.
Mosi, je, amelijua hili leo au ni baada ya kupigwa pini tokana na mauaji ya Oktoba 29?
Je, haya yanatoka moyoni au ni rongorongo mdomoni kumpendeza mama chawa?
Je, kama asemayo ni kweli, mbona haelezi mikakati ya kujitegemea?
Je, Tanzania ina utamaduni wa kujitegemea au utegemezi?
Je, kati ya hawa vitegemezi waibao kodi zetu na kuzifuja na wanaowapa misaada nani kapitwa na wakati?
Je, kwa utawala wa hovyo wa sasa, ataweza kusimamia maneno yake au kuramba matapishi yake kama aliyebweka 'who are you' utadhani hawajui hao aliobwekea?
Je, watanzania ni mataahira hadi kuamini upupu utokanao na uchawa na ukosefu wa busara?
Je, kati ya watawala na wananchi nani anaishi kwa kutegemea misaada?
Kweli yajayo yanafurahisha.
Eti na Lameki ni daktari! Mmmejua kututenda jamani.
Ni kweli. Nanyi machawa na mafunza endelea kuramba makalio ya awafugaye bi kidude na kidudeee chake.Nyie Chadomo ndio endeleeni kutegemea Beberu ,Nchi imekataa