Hivi Lameki Madilu ni mzima kichwani anapodai utegemezi wa taifa umepitwa na wakati?

hiyo dhana potofu haina maana wala athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumi zaidi ya kuexpose empty head yako gentleman πŸ’
Ni kweli. Kwa machawa na mafunza ni kweli. Ila kwa wenye akili, ni madini adimu mwanangu mkumbaff.
 
Taking it positively ametusaidia kujua kwamba wamehangaika kufanya ulaghai kwa EU na USA imeshindikana!
 
Taking it positively,ametusaidia kujua kwamba wamehangaika kufanya ulaghai kwa EU na USA imeshindikana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…