Hivi lengo hasa la kufunga NDOA ni nini?

Hivi lengo hasa la kufunga NDOA ni nini?

Habari za jumapili wanajamii forums

Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya waliofunga ndoa na wasiofunga ndoa.Ukiangalia kiundani wanandoa wengi wanachepuka balaa ni wazinzi wa kutupwa kama wale tu wasifunga ndoa.

Kile kiapo cha mpaka kifo kitutenganishe kwa sasa kimekuwa ni uongo maana watu wakidumu kwa miaka zaidi ya 3 aisee ni kumshukuru MUNGU.

Wengi sio wavumilivu kwenye hizo ndoa,uongo mwingi sana yaani mimi binafsi sijaona faida hasa ya kufunga ndoa,labda maarifa yangu ni madogo NAOMBENI MNISAIDIE FAIDA HASA ZA KUFUNGA NDOA AMBAO HAWAFUNGA WANAZIKOSA
Ahsanteni
Wanasemaga oa ili uepuke uzinzi
 
Kwa hiyo wewe unatumia muda wako mwingi(asubuhi,mchana hata usiku)kufuatilia wenye ndoa wanaishije?Achana na hayo mawazo mfu.Wewe sasa ndiyo uwe mfano bora wa ndoa imara.Anza sasa.
 
Faida moja wapo, wewe kama dume,una ukwasi wa kutosha, na una ka Mke kazuuuri, kama Elizabeth Michael, ukifa bila ndoa, Mke hapati kitu! Sheria haimtambui kabisa, hawezi kudai chochote, na, kama una watoto wanaweza kumtosa pia, vile vile, fikiria Una goma lako kama Zari, na ma pesa yote Yale, hamjafunga ndoa, mnachuma Mali za, ktosha, wewe kama baba wa, nyumbani,mkizinguana unaondoka na boksa zako tu, huna chako,
Tuje kibongo bongo, Kuna taasisi za kimataifa, ukiajiliwa, bima ya afya wanatoa kwa watoto, na Mke, lakini kwa Mke lazima uonyeshe cheti cha ndoa! Sasa fikiria unakufa, kuna mafao kibao inabidi apate mjane kwa vile alikuwa mkeo,lakini kwa vile hqkuna cheti, anaula wa chuya
Pitia sheria zinasemaje.Siyo rahisi hivyo.
 
Back
Top Bottom