Hivi lengo la kuja duniani ni nini?

Hivi lengo la kuja duniani ni nini?

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Kuna swali huwa linanizunguka kichwani hasa linaniambia lengo la kuja duniani nini?

Kwanini wengine duniani watajirike na wengine wawe masikini? Na kwanini wengine wamake Impact ila wengine wasimake impact?

Kwanini wagunduzi wengi wa Teknologia wengi ni ngozi nyeupe? Kwamba waAfrika wengi wetu tumekuja kusindikiza wengine?

Lengo la kuumbwa ni nini? Akiachana na kuja kuabudu je lengo hasa nini? 💫💫💫
 
Maisha hayana maana ni vile tuliona mafanikio ni kufuata watu fulani , binadamu tumejaa roho ya wivu kitu kinachotufanya kutamani Cha mwingine ...Kila mtu ana maisha yake ya tofauti kama vile tunavyotofautiana fingerprint.

Mtu akijinyonga yuko sahihi kwa vile alikosa maana ya maisha ila binadamu utaona wanamsema vibaya kama vile wanampangia cha kufanya.

Kila binadamu jambo analofanya kwa ajili yake yuko sahihi , tatizo ni mifumo na sheria tulioweka wenyewe huku duniani ndio huleta gaps baina ya binadamu.
 
Lengo kuu ni kuinjoi na wana.

20250129_014902.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Swali la kwanza ambalo ni msingi wa maswali yote: umetoka wapi - evolution ama creation?

Ukipata jibu sahihi, maswali mengine YOTE ni rahisi kama kuiongoza ndege kwa autopilot.
 
Maisha hayana maana... Na Dunia ni uwanjawa fujo. Hapa nina maana kwamba wewe fanya vurugu zako ukimaliza unaondoka anakuja mwingine.
Kwahiyo kila mtu ana lengo lake la kuja duniani na kama tungekuwa na lengo moja basi tungefanana namna ya kuishi.

Nb: ni mtazamo wangu tu.
 
Kuja duniani kutoka wapi?
 
Simple kabisa🤣🤣uhakika ni kuzaliwa na kifo basi hapo kati itategemea na kipawa chako..

Maana hata wale hadzabe tunawaona hawajitambui ila wana maisha yao ,wla hwajui kuhusu ujinga wa mataifa mengine ....Wana furaha kama sisi tu.
 
Kutiana na kuijaza dunia halafu dunia ikisha Jaa mwenye dunia Yake ndio atajua Nini kifanyike.... Mwanzo 1:28
 
Back
Top Bottom